Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,467
- Thread starter
- #261
Dah Kaka tuna ugomvi kwani😂😃😃🤣, niachie my kocha To yeyeIntelligent businessman kaniambia au basi.. 😅😅😅😅
Nikuache hapa tunaweza piga story.. kesho nikaanzishiwa story mpya.. nimepewa mkeka mrefu sana nilio lala nao JF hadi nimeogopa.. kuna wengine hatujawai hata onana.. dah.. humu napashindwa