JF member atakayetuwakilisha BIG BRAZA

JF member atakayetuwakilisha BIG BRAZA

klorokwini naona umeshapitishwa wewe, uni nominate mimi nikusindikize. Utanitambulisha kama binamu.
 
Last edited by a moderator:
klorokwini all the way....

klorokwini anaelekea kuongoza!...nadhani tumpeleke huyu...achague sasa ataambatana na nani...

BAGAH usijali kama klorokwini atapita kwa kura zote mie ntaambatana nae. Hapa nishaanza kukusanya nguo.

klorokwini naona umeshapitishwa wewe, uni nominate mimi nikusindikize. Utanitambulisha kama binamu.

tafadhali usije ukaenda na ile jeans yako ya SAVCO!...

Msione kimya, ndio nipo hair cut apa natafta pozi la kuingilia Big broza. Na naahidi mimi sitowaaibisha kama yule mganda alonguruma nguruma juu ya dada yetu Bhoke halaf ndani ya sekunde nane akamchafua dada etu. Mimi nitatafta mdada wa ki isiopia nikomae nae kwa dakika 40.

Nitaambatana na RussianRoulette ili nipate kuimprove kifrench changu.
Asanteni sana
 
Last edited by a moderator:
kwa RR
nakutakia kila la kheri mkuu.

Msione kimya, ndio nipo hair cut apa natafta pozi la kuingilia Big broza. Na naahidi mimi sitowaaibisha kama yule mganda alonguruma nguruma juu ya dada yetu Bhoke halaf ndani ya sekunde nane akamchafua dada etu. Mimi nitatafta mdada wa ki isiopia nikomae nae kwa dakika 40.

Nitaambatana na RussianRoulette ili nipate kuimprove kifrench changu.
Asanteni sana
 
tupia BISHANGA ABASHAIJA....hapo na lizzy
 
Bora waende Ulimakafu na Katavi hao wataonesha ukarimu wa watanzania watakuwa wanakesha getini kuwapokea wageni
 
Back
Top Bottom