BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
...kutokana na manjonjo...utashi...utani na namna ya kuishi na watu/jamii...unafikiri nani humu JF anaweza kuwa mshiriki bora wa Big Braza?...Na akatuletea ushindi?
na aambatane na nani?kama ilivo kwa mwaka huu:unakwenda na mtu unaempenda...baba...mama...mke...mume...mchumba...nk.
na aambatane na nani?kama ilivo kwa mwaka huu:unakwenda na mtu unaempenda...baba...mama...mke...mume...mchumba...nk.