afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,151
- 9,272
dah, mpendwa hadi umetajwa ujue ameona unastahili jamani.
mmhhh
Dahhh
Hao mabinti wawili nilio wataja Ashadii na Lizzy..
kwa kweli wanastahili sana..
Ashadii anastahili kwa kujibu thread za watu na hata kama mtu
kamuudhi .. Hatukani pamoja na thread anazoanzisha zina maana sana..
nikija kwa LIZZY..
Dahhh sijui nianzie wapi .
Kwanza Kitabu alichoandika huko MMU..
Pili thread anazofungua changamoto kwa kila mtu..
Tatu Lizzy anakwambia kama ilivyo. Harembi maneno..
Kwa hiyo ningeomba sana muwape kura zenu....