JF Ladies....Arusha Wing...DINNER....

JF Ladies....Arusha Wing...DINNER....

Status
Not open for further replies.
Halafu mkitoka hapo muanze kusengenyana...oh flani sijui 'weaving' lake liko hivi....mara 'ah yule naye anajidai'.....mara sijui nani ana shepu kama Betina...mara bibi mwafulani kakaa kama Zena.....

Mmmmmmhhh!
 
sasa kwa taarifa yenu.....hata wale wanaovaa ninja watakuwepo full kujiachia..........watoto wa watu watajilipua salon.....shurti madikodiko.......ole wenu mtokeze........
Hahahahahaha wale wavaa ninja mie mmoja wapo ntakuepo lol....


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Sasa mbona mnatutenga siye wa darisalamu mtatufanya tupande mibasi tukuje huko! Loh!
 
Mmmh! labda werawera tu, Halafu Mwenyekiti ( Baba V ) amekataza wanawake kupanda juu ya....... uwe juu ya wenzako!

Huyu bibie anataka kutenda dhambi kubwa mithili ya kula nyama ya mtu khaa....! kwamba wanaume hawaruhusiwi!??? wanataka wakaongee nini!? Hakynani ikiwa hivyo wakirudi toka huko tarajieni matimbwili makubwa ndani ya ndoa zenu. Wakikaa peke yao wakafundishana huko... sijui...
 
Last edited by a moderator:
Nyie ndo mnaochungulia watu wakiwa bafuni.

Hahahahaaa... kuna mzee alikuwa anapenda kupiga chabo kimtindo kwenye bafu la paspot size.. ilikuwa akiona jirani zake wameingia bafuni anapanda kwenye mnazi wake anajifanya ana shughuli zake kumbe chabo. Kuna siku dada mmoja kaamua kumkomoa alivyoingia bafuni mzee kama kawa kapanda kwenye mnazi. Huyo dada kaanza kufanya vituko makusudi huko bafuni mzee midadi ikampanda kaanguka toka juu ya mnazi ikawa bonge la soo na noma kilo kumi.
 
pple za Arusha bhanaa na mavazi yao sio men o women wote wamepinda"uso wa mbuzi"
 
PRETA mbaguzi yaani ata PJ atakiwi?
Ata mie jamani?basi walau niwe DJ wa ukumbi mtakaokuwa mnajimwaga

ha ha.... PakaJimmy atakuwepo kwenye trip......coz mwaka huu pia trip itakuwepo.........hiyo na wewe uje....ila kwa hii.....soreeee.......

Preta sasa huu ubaguzi dhahiri, sijui PJ na Mzee wa Rula na wadau watasemaje??
Wadau!

Mimi kama kiongozi wa A-Wing ninachoweza kusema ni kwamba wazo la Preta ni wazo lake binafsi kabisa kama MwanaJF huru na kama raia wa Tanzania anayejua haki za msingi na za kikatiba kwa mwananchi.

Labda niweke wazi kuwa kwenye wazo hili hajauhusisha Uongozi wa Wing kwa namna yoyote, na kwahiyo na mimi kama kiongozi nimegeuka mtazamaji wa show!

Lakini kubwa sana na la msingi yapasa sote tujue kuwa JF kama 'whole' au seti ina subsets nyingi sana ndani!
Tukianzia na kwenye profiles zetu kuna options kadha za groups ndani ya JF!
Kuna groups za wanataaluma anuwai, kuna groups za wanamichezo, Wakulima na Wafugaji etc etc.
Je huo ni UBAGUZI?

Pili, JF kama 'Whole' ina WINGS!...Arusha, Dar, Tanga, Rock City, Dodoma etc, na zingine zitazaliwa...Je huo pia ni UbAGUZI?
JIBU NI HAPANA..SI UBAGUZI!

Nia ya msingi ya Preta si Ubaguzi, bali ni kuhakikisha kuwa wana'exploit to the maximum opportunities zote zinazoweza kupatikana ndani ya 'whole' ya JF!

Essence ya kusanyika la Preta (The Preta Gender Conference) kwa jinsi mimi nilivyomsoma ni zaidi kuongelea women issues, na fursa-chanya zinazoweza kupatikana kutokana na hiyo gender 'discrimination' conference!

Nawaomba wanajamvi tusidiscourage hii kitu kwa namna yoyote ile.
Gender ya wenzetu historically wamekuwa na sustainable struggle against men...tusipinge asili, na ndiyo maana pia kuna Wizara maalum ya Wanawake na Watoto...hamjastukia tu?

Au tuseme hamjui kauli-tata inayolazimishwa sana masikioni inayosema "...Kila penye mwanaume aliyefanikiwa, nyuma yake kuna mwanamke?
Preta, we wish you guys all the best in your undertake, and whenever you happen to need any help,we (men) are at large!


 
Last edited by a moderator:
jamani na sisi dar tufanye basi mbona arusha wanatupiga gap sna? au tunaogopa kung'olewa kucha na wazee wa mabwe pande?
 
hichi kitu nilikuwa nakitafuta muda mrefu
afadhali bestito nawe umeona hilo ila
siye wengine tuko mikoani sijui itakuwaje?
ila tutatoa ushauri na maoni yetu pindi ikifikia
Kama kichwa cha habari kinavyosema........nimewaza kwa nguvu........nia na dhumuni ni kusocialize.....YES.....
Kama wanawake........tunahitajiana kwa njia moja au nyingine.......katika maswala mbalimbali.......kwa hiyo......nimeonelea....nilete wazo hili kwenu ili tulichambulie hapa hapa.....tupeane mawazo hapa hapa......na tuamue hapa hapa.......nyie mnaonaje.......?
Ipo hivi.......wazo ni kukutana kwa dinner mahali tutakapochagua.....tarehe tutakayo taka....lakini mwezi ni December.......tuzungumze mambo yetu......wenye biashara waziweke mezani.......wenye kuhitaji ideas......tubadilishane mawili matatu......wengine wanataka kuwa wajasiriamali.......tuoneshane fursa zilizopo katika hilo.....huna kazi......labda kuna anayejua mahali palipo na kazi akakusaidia.......na hata wengine hawajaolewa...(tuna kaka zetu hawajaoa).....cc Smile........nk..nk...nk.....

Sasa basi.......nyie wooooote mliopo Chugga na mikoa ya jirani....mnakaribishwa.....mtoe mawazo yenu.......
Binafsi nina mawazo yangu....bali nitachanganya na yenu ili tuweze kwenda sambamba.......na bila kusahau....nitasimamia show nzima ya maandalizi msiwe na wasiwasi.......

MUHIMU.....
WANAUME HAMRUHUSIWI
........msijaribu hata kuchungulia.......kama una mkeo utamdrop uchape lapa..........

Asanteni.......
 
mkuu kiongozi wa A- TOWN naomba utengue lugha hii uliyotumia hapa:

Au tuseme hamjui kauli-tata inayolazimishwa sana masikioni inayosema "...Kila penye mwanaume aliyefanikiwa, nyuma yake kuna mwanamke?

Wadau!

Mimi kama kiongozi wa A-Wing ninachoweza kusema ni kwamba wazo la Preta ni wazo lake binafsi kabisa kama MwanaJF huru na kama raia wa Tanzania anayejua haki za msingi na za kikatiba kwa mwananchi.

Labda niweke wazi kuwa kwenye wazo hili hajauhusisha Uongozi wa Wing kwa namna yoyote, na kwahiyo na mimi kama kiongozi nimegeuka mtazamaji wa show!

Lakini kubwa sana na la msingi yapasa sote tujue kuwa JF kama 'whole' au seti ina subsets nyingi sana ndani!
Tukianzia na kwenye profiles zetu kuna options kadha za groups ndani ya JF!
Kuna groups za wanataaluma anuwai, kuna groups za wanamichezo, Wakulima na Wafugaji etc etc.
Je huo ni UBAGUZI?

Pili, JF kama 'Whole' ina WINGS!...Arusha, Dar, Tanga, Rock City, Dodoma etc, na zingine zitazaliwa...Je huo pia ni UbAGUZI?
JIBU NI HAPANA..SI UBAGUZI!

Nia ya msingi ya Preta si Ubaguzi, bali ni kuhakikisha kuwa wana'exploit to the maximum opportunities zote zinazoweza kupatikana ndani ya 'whole' ya JF!

Essence ya kusanyika la Preta (The Preta Gender Conference) kwa jinsi mimi nilivyomsoma ni zaidi kuongelea women issues, na fursa-chanya zinazoweza kupatikana kutokana na hiyo gender 'discrimination' conference!

Nawaomba wanajamvi tusidiscourage hii kitu kwa namna yoyote ile.
Gender ya wenzetu historically wamekuwa na sustainable struggle against men...tusipinge asili, na ndiyo maana pia kuna Wizara maalum ya Wanawake na Watoto...hamjastukia tu?

Au tuseme hamjui kauli-tata inayolazimishwa sana masikioni inayosema "...Kila penye mwanaume aliyefanikiwa, nyuma yake kuna mwanamke?
Preta, we wish you guys all the best in your undertake, and whenever you happen to need any help,we (men) are at large!


 
hivi mkuu nani aliyekwambia sisi tukikaa pamoja tunafundishana mambo ya kibeijin?
tunafundishana mambo ya kibiashara, ujasiriamali, na mambo mengine sasa hiyo yako imetoka wapi?
hizi kauli zako siku moja zitakutokea puani shauriro

Huyu bibie anataka kutenda dhambi kubwa mithili ya kula nyama ya mtu khaa....! kwamba wanaume hawaruhusiwi!??? wanataka wakaongee nini!? Hakynani ikiwa hivyo wakirudi toka huko tarajieni matimbwili makubwa ndani ya ndoa zenu. Wakikaa peke yao wakafundishana huko... sijui...
 
mkuu kiongozi wa A- TOWN naomba utengue lugha hii uliyotumia hapa:

Au tuseme hamjui kauli-tata inayolazimishwa sana masikioni inayosema "...Kila penye mwanaume aliyefanikiwa, nyuma yake kuna mwanamke?

ladyfurahia,
Naipinga kauli hii kwasababu:
-huwa inatajwa tu pale ambapo mwanaume amefanikiwa sana na kutoka kimaisha!
-Mwanamke akifanikiwa huwa haisemwi kuwa nyuma yake kuna mwanaume!
-Kwa mwanaume aliyepigika chokambaya mbona kauli hii haisemwi na Vice-Versa yake, kwamba Kila mwanaume aliyepigika ujue kuna mwanamke aliyeshikilia matendegu?

Binafsi siikubali hiyo kauli, ndiyo maana nikaiita tata!...umekubali?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom