ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
ila angalia kwenye mada kunasemaje kuhusu wanaume hamruhusiwi hapa
"Hakuna dhambi mbaya kama dhambi ya ubaguzi."
Preta hapo nimemnukuu Mwalimu Nyerere (RIP) tu. Nachapa lapa!
ladyfurahia,
Naipinga kauli hii kwasababu:
-huwa inatajwa tu pale ambapo mwanaume amefanikiwa sana na kutoka kimaisha!
-Mwanamke akifanikiwa huwa haisemwi kuwa nyuma yake kuna mwanaume!
-Kwa mwanaume aliyepigika chokambaya mbona kauli hii haisemwi na Vice-Versa yake, kwamba Kila mwanaume aliyepigika ujue kuna mwanamke aliyeshikilia matendegu?
Binafsi siikubali hiyo kauli, ndiyo maana nikaiita tata!...umekubali?
subiria december bana
mngesema kwa member wote wa uku bila kuweka limit
patatufaa thn nitarudi!!afu dady watu8 na LiverpoolFC
kulikoni huku eboooo hii ya kwetu jama!!!
​owk dady!!Miye mpitaji tu hapa nikiitwa kama hivi...
Haha'ha kweli maana wanawake tuna mambo,lakini naamin watu wa chuga hawana hzo makituHalafu mkitoka hapo muanze kusengenyana...oh flani sijui 'weaving' lake liko hivi....mara 'ah yule naye anajidai'.....mara sijui nani ana shepu kama Betina...mara bibi mwafulani kakaa kama Zena.....
Mungu ni mwema my dear.......naamini utakuwepo..........