JF Ladies....Arusha Wing...DINNER....

JF Ladies....Arusha Wing...DINNER....

Status
Not open for further replies.
Halafu mkitoka hapo muanze kusengenyana...oh flani sijui 'weaving' lake liko hivi....mara 'ah yule naye anajidai'.....mara sijui nani ana shepu kama Betina...mara bibi mwafulani kakaa kama Zena.....

kwanini umeanza kwa kucritisize yaani hata kama mtu hakuwa na hilo wazo basi akienda

kwenye hiyo party macho yake yatakuwa juu juu......halafu mtu akikusengenya unakufa

you have nothing to lose...maana hadi mtu age alofikia anakuwa kasengenywa na kusemwa mengi......
 
Unanidai zawadi nono ya Xmass 2013...

Tatunguline wo(man) akawepo katika dunia hii bila man?

Please Preta, rekebisha hii kitu haraka..

Babu DC!!

kweli babu wanaume tunawapenda sana......lakini kwa hili.....mtatusamehe............
 
Mimi nitakuja mara moja tu wala stakaa sana
kazi yangu itakuwa kuweka hidden cameras na sound/voice recoder!

kuna wanawake wanafanya hizo shughuli siku hizi......watakuwepo..........
 
kwa hiyo preta unataka kunipa bro wako sio?
 
Hata mabilionea wa Arusha wanaotaka kusponsor event nao hawaruhusiwi kuchangia?
 
Hata mabilionea wa Arusha wanaotaka kusponsor event nao hawaruhusiwi kuchangia?

tunashukuru sana kwa kuonyesha ushirikiano.....lakini wanawake wenyewe tunaweza.........asante.........labda siku nyingine.......
 
PRETA mbaguzi yaani ata PJ atakiwi?
Ata mie jamani?basi walau niwe DJ wa ukumbi mtakaokuwa mnajimwaga
Kama kichwa cha habari kinavyosema........nimewaza kwa nguvu........nia na dhumuni ni kusocialize.....YES.....
Kama wanawake........tunahitajiana kwa njia moja au nyingine.......katika maswala mbalimbali.......kwa hiyo......nimeonelea....nilete wazo hili kwenu ili tulichambulie hapa hapa.....tupeane mawazo hapa hapa......na tuamue hapa hapa.......nyie mnaonaje.......?
Ipo hivi.......wazo ni kukutana kwa dinner mahali tutakapochagua.....tarehe tutakayo taka....lakini mwezi ni December.......tuzungumze mambo yetu......wenye biashara waziweke mezani.......wenye kuhitaji ideas......tubadilishane mawili matatu......wengine wanataka kuwa wajasiriamali.......tuoneshane fursa zilizopo katika hilo.....huna kazi......labda kuna anayejua mahali palipo na kazi akakusaidia.......na hata wengine hawajaolewa...(tuna kaka zetu hawajaoa).....cc Smile........nk..nk...nk.....

Sasa basi.......nyie wooooote mliopo Chugga na mikoa ya jirani....mnakaribishwa.....mtoe mawazo yenu.......
Binafsi nina mawazo yangu....bali nitachanganya na yenu ili tuweze kwenda sambamba.......na bila kusahau....nitasimamia show nzima ya maandalizi msiwe na wasiwasi.......

MUHIMU.....
WANAUME HAMRUHUSIWI
........msijaribu hata kuchungulia.......kama una mkeo utamdrop uchape lapa..........

Asanteni.......
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom