JF Ladies....Arusha Wing...DINNER....

JF Ladies....Arusha Wing...DINNER....

Status
Not open for further replies.
Preta, niandike kwenye list.
Nitakuja kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Halafu mkitoka hapo muanze kusengenyana...oh flani sijui 'weaving' lake liko hivi....mara 'ah yule naye anajidai'.....mara sijui nani ana shepu kama Betina...mara bibi mwafulani kakaa kama Zena.....

Umenchekesha wewe!
 
Duh wameanza na hili sijui kesho itakuwaje...kutengwa huku jamani ...Sorry nimechapa lapa tyr ndo maana hamtaniona kuchangia uzi huu tena.
 
nawah kufunga CCTV cameras mtapokuwepo.
 
Hongera sn Preta kwa wazo zuri,natumai wazo limekubalika na zoez litaenda vzr kwnzia maandaliz ad ck ya kilele na kila m2 atatoka na fikra mpya ya kimaendleo. Binafsi nipo chuga ntahudhuria kikamilifu.
 
PRETA mbaguzi yaani ata PJ atakiwi?
Ata mie jamani?basi walau niwe DJ wa ukumbi mtakaokuwa mnajimwaga

ha ha.... PakaJimmy atakuwepo kwenye trip......coz mwaka huu pia trip itakuwepo.........hiyo na wewe uje....ila kwa hii.....soreeee.......
 
Last edited by a moderator:
Dr sio kwamba mnapenda wallet za wanaume...!!!

wallet tunapenda sana.....lakini pale tunapokuwa serious na mambo yetu........tunaweka kando........
 
Hongera sn Preta kwa wazo zuri,natumai wazo limekubalika na zoez litaenda vzr kwnzia maandaliz ad ck ya kilele na kila m2 atatoka na fikra mpya ya kimaendleo. Binafsi nipo chuga ntahudhuria kikamilifu.

karibu sana.....na pia ruksa kutoa maoni......unataka iweje....ifanyike wapi........na pia unaruhusiwa kualika marafiki wengine zaidi.....sio lazima wawe JF members.......
 
Bibi yenu yuko maternity leave naruhusiwa kumuwakilisha?amaniomba sana nimuwakilishe,si unajua sisi wazee hatuna sumu!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
By Valenti8
Hongera sn Preta kwa wazo zuri,natumai wazo limekubalika na zoez litaenda vzr kwnzia maandaliz ad ck ya kilele na kila m2 atatoka na fikra mpya ya kimaendleo. Binafsi nipo chuga ntahudhuria kikamilifu.

karibu sana.....na pia ruksa kutoa maoni......unataka iweje....ifanyike wapi........na pia unaruhusiwa kualika marafiki wengine zaidi.....sio lazima wawe JF members.......
Oky,ntakuja nao. Hyo mapendekezo 2nayasema apa ama niku pm?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom