kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Aisee nimesikitika sana reo, hadi nimeshindwa kura hapa nimerara bira kura
Umeandika mwandiko mbayaAisee nimesikitika sana reo, hadi nimeshindwa kura hapa nimerara bira kura
Uduguu wee mkorofii sanaa, aaaah😹😹😹 Vee money angekua na pesa angetusumbua sana humu..!!
Ss hivi katulia kwenye sevanti kota kwa boss km sio yeye aliyesema yupo Pariii 😹😹
Na kinavyopenda kuripoti kitakua kimenywea mods hawapo ofisini..!!
Tayari wameifungia?Kwa hiyo wote waliomo humu wapo nje? Kwa sababu tz hakuna mtandao.
Bado nina majonzi sana mkuu🥲Umeandika mwandiko mbaya
Sisi tupo na tunaishi.Chama Cha ma jobless pro max, tuna sikitishwa na uhuni wa kupelekeana barua siku za sikukuuu.
Halafu una sema utaratibu ume fatwa, acha ukanjanja.
Selikavu, dosho12, Edo kissy, Razorblade,
Utakuraje Chakura wakati reo samia katubomorea chaka retu ra jamiiforumsAisee nimesikitika sana reo, hadi nimeshindwa kura hapa nimerara bira kura
Namuachia Maghayo The Mongolian Savage upate pamoja na ladha ya bange😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁🫡🫡🫡😂😂🤣
We si hautaki KULA 😂😂
Aisee nimesikitika sana reo, hadi nimeshindwa kura hapa nimerara bira wa
Watu wenye madaraka ndo wapo hivo mkuu.Aisee nimesikitika sana reo, hadi nimeshindwa kura hapa nimerara bira kura
Hajawahi kuwa gt hata siku Moja.Panafurukuta vibaya , msemaji mkuu wa serikali nae amejikanyaga ni bora angenyamaza mpaka sasa ashapoteza credibility
Kenge mavumbiGoodbye popoma mwitu rais wa maj0blles
Wanyonge tunanyanyaswa na hata haki hatupewiWatu wenye madaraka ndo wapo hivo mkuu.
Lamomy wewe upo nnchi Gani? Mimi nipo Singapore 🤣🤣🤣Hivi kwa watu tuliopo humu wanajua hatujui kutumia VPN 😹😹
Wengine saa hii tuko abroad 🤣
Bi chura atafika mbinguni yuko hoi sana, Mungu amsaidieUtakuraje Chakura wakati reo samia katubomorea chaka retu ra jamiiforums