Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,212
- 86,849
Eeeh karibu mjomba uje ucheze na wajukuu zako..!! 😊😹Wacha we naona kagiza Giza ndo kanataka kuingia pande izo 🙌🙌
Eeeh karibu mjomba uje ucheze na wajukuu zako..!! 😊😹Wacha we naona kagiza Giza ndo kanataka kuingia pande izo 🙌🙌
dosho12 nasikia kahamia milimani Kama Osama 😅😂Muimba SINGELI na dosho12 man vpn kweli au tuonane baada ya siku 90 😂😂😂
Aisee nilikuwa nimeumia sana Hadi nilipopata wazo la kuwasha vpnWakuu baada ya JF kulimwa kifungo cha siku 90, kisicho na kichwa wala miguu.
Sisi tuhesabu siku zilizobakia kuelekea Uhuru wetu, ili hata wakitubania haya waone wao.
I mean no malice to nobody
View attachment 3467077
Wenzake tumehamia Europe ye kaenda kujificha milimani 😂😂😂nitamtumia private jet aje Spain atulize akilidosho12 nasikia kahamia milimani Kama Osama 😅😂
Ntakuja nije niwafundishe ule wimbo, pendwa wa kule nyumbaniEeeh karibu mjomba uje ucheze na wajukuu zako..!! 😊😹
hapa labda twende mpakani tuAisee nilikuwa nimeumia sana Hadi nilipopata wazo la kuwasha vpn
Niko nanjilinji Huku hata balozi hakuna, wakija wana kutana na fisi tu.Wee IB huogopiii? LOL
Anaruka ruka sana ataachaje kuwa hoiBi chura atafika mbinguni yuko hoi sana, Mungu amsaidie
Nilale ya nini wakati pesa nimezipata ukubwani.... Ngoja nikatafute supu niendeleze nilipoishia jana😊Hamlali? Muda huu kwetu tunajiachia tu 😹😹
Nipo kaka 😃Muimba SINGELI na dosho12 mna vpn kweli au tuonane baada ya siku 90 😂😂😂
Nipo uholanzi 😁dosho12 nasikia kahamia milimani Kama Osama 😅😂
Ni muda huu wimbo ufanyiwe remix uncle, kuna sehemu wametupiga kwa haya yanayoendelea..!!Ntakuja nije niwafundishe ule wimbo, pendwa wa kule nyumbani
1. Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2.
2. Chemchem ya furaha amani nipe tumaini,
Kila mara niwe kwako nikiburudika,
Nakupenda sana hata nikakusitiri,
Nitalalamika kukuacha Tanzania.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2
3. Nchi yenye azimio lenye tumaini,
Ndiwe peke yako mwanga wa Watanzania,
Ninakuthamini hadharani na moyoni,
Unilinde name nikulinde hata kufa.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2
Nawaombea wakue yes hao ndo wanafaa waje wafanye mapinduzi maana sisi tushafeli, tunaishia kuongea tu chini chini, 🤣🤣🤣Ni muda huu wimbo ufanyiwe remix uncle, kuna sehemu wametupiga kwa haya yanayoendelea..!!
Sasa wajukuu zako si wataona unawaletea hadithi za sungura na fisi??😹😹
Hawa wajukuu zako sio km sisi mama zao mjomba ukijamba tunakausha kama hakuna kilichotokea. Lakini hawa wanakwambia babu umejamba ushuzi unanuka vibaya utakuwa umevimbiwa au una infection tumboni kapime amiba..!!
Umeenda na Ras au 😂Nipo kaka 😃
Nipo uholanzi 😁
😅 nipo peke yangu, hzi siku tatu hajaonekana kabisa sijui yupo wapiUmeenda na Ras au 😂
Kweli wakti ni tiba tosha.Mungu ni mwema, hili nalo litapita tuu
Si Ras yule itakuwa amekwama Jamaica huko 😂😅 nipo peke yangu, hzi siku tatu hajaonekana kabisa sijui yupo wapi