Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 43,990
- 95,445
- Thread starter
- #101
Meji mpaka leo una ogopa kinyonga?Wee IB huogopiii? LOL
Meji mpaka leo una ogopa kinyonga?Wee IB huogopiii? LOL
Wahuni bado wana endelea na ushamba wao.Hatari sana
Oya nili jua ume badilisha jina, ukawa Alfu Lela U lela same avatar 😁Bado TCRA wameinyonga JF.
This is too bad!
La hasha mkuu, nikibadili ID hawa akina popoma na machawa wenzake watazidi kuongezeka humu na kuanza kuleta fujo 😂.Oya nili jua ume badilisha jina, ukawa Alfu Lela U lela same avatar 😁