proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,315
- 11,100
kwa nnMungu nifundishe kunyamaza.
kwa nnMungu nifundishe kunyamaza.
Huyu mabakuli kumbe bado yupogo? Kuna watu hawafi aisee 😁Hivi kwa watu tuliopo humu wanajua hatujui kutumia VPN 😹😹
Wengine saa hii tuko abroad 🤣
Mimi nipo London nimekuja leo jioni hapa ntakaa hadi mwakani ndiyo ntarudi bongoKwa hiyo wote waliomo humu wapo nje? Kwa sababu tz hakuna mtandao.
Njoo Singapore, waifu material tule bata🤣🤣Mimi nipo London nimekuja leo jioni hapa ntakaa hadi mwakani ndiyo ntarudi bongo
Ungekuwa hapa pakistani, ingekuwa powa sana kwa sababu pangewaka motooo...Mimi nipo London nimekuja leo jioni hapa ntakaa hadi mwakani ndiyo ntarudi bongo

Sasa huko si nchi nyingine jamani 😅Njoo Singapore, waifu material tule bata🤣🤣
Ndiyo unachokiwaza😅😅Ungekuwa hapa pakistani, ingekuwa powa sana kwa sababu pangewaka motooo...![]()
Fisi wewe 🤣🤣... Kuna wakati ilipotezwa kabisa hata ukitumia VPN inakuletea ujumbe wa kuomba msamaha kwamba, japo seva zao zipo nje ya Tanzania inawabidi watii masharti sababu kuna leseni walipewa na mamlaka za TanzaniaHivi kwa watu tuliopo humu wanajua hatujui kutumia VPN 😹😹
Wengine saa hii tuko abroad 🤣
Ngoja nikalewe kwanza, nitakutafuta baada ya masaa 12 kupita 😀Ndiyo unachokiwaza😅😅
Mimi tu ndo mlokole humu kumbeNgoja nikalewe kwanza, nitakutafuta baada ya masaa 12 kupita 😀
MI ni church boy je nipo kundi lako?Mimi tu ndo mlokole humu kumbe
Uchokozi huo 😹Huyu mabakuli kumbe bado yupogo? Kuna watu hawafi aisee 😁
🇺🇸 BabyLamomy wewe upo nnchi Gani? Mimi nipo Singapore 🤣🤣🤣
Hamlali? Muda huu kwetu tunajiachia tu 😹😹Fisi wewe 🤣🤣... Kuna wakati ilipotezwa kabisa hata ukitumia VPN inakuletea ujumbe wa kuomba msamaha kwamba, japo seva zao zipo nje ya Tanzania inawabidi watii masharti sababu kuna leseni walipewa na mamlaka za Tanzania
Hujakutana na kitu kama hicho?
Wacha we naona kagiza Giza ndo kanataka kuingia pande izo 🙌🙌🇺🇸 Baby
Kwa snupi 😹😹