Jf inatupeleka wapi

jana tulikuwa kanisani kanisa kuu Arusha lutheran,wakati kwaya inaimba nilimwona mtu amekaa benchi la mbele yetu anasoma kitu kwenye simu yake,kutoa macho vizuri kumbe yupo Jamiiforum,kuangalia upande wangu wa kulia nikamwona mwingine naye yupo jamiiforum,kuangalia nyuma yangu nikamwona mwingine tena,,hehehe nilishangaa nikajiuliza Jf inatupeleka wapi???Kazi tunayo!

Wewe ni muongo kwani hata kama ni kujisahau na kufanya mambo siyo kanisani hawawezi wakawa wengi hivyo!
 
Ninavyojua mimi jf itatuongoza ktk mapinduzi ya democrasia na haki, ila siyo kuitumia muda ambao mtu umeutenga kwaajili ya kumwomba Mungu wako
 
Hii sasa kali....

Umeamua kutudanganya mchana kweupe hivi? We kweli ni noma yaani hata hupepesi jicho?.. Tehe!
 
Hii sasa kali....

Umeamua kutudanganya mchana kweupe hivi? We kweli ni noma yaani hata hupepesi jicho?.. Tehe!

Yaani kweupe wakati Ng'ombe bado wanakula majani ! Je? Wakishatoka malishoni ? Jibu usiniulize!
Unalo.
 
afadhali ya hao waliokuwa kwenye jf,
mbona wewe ulikuwa hutulii, kazi kupapasa macho tu.
 
Halaf uskute walikuwa wanaperuzi jukwaa la wakubwa kanisani. Mimi hii stori naiamini kabisa yaani
 
umejitahidi kufunguka.
Kweli utunzi wa stori za kukutana au kuona watu wa jf zimeisha idea zisisile.
 
jana tulikuwa kanisani kanisa kuu Arusha lutheran,wakati kwaya inaimba nilimwona mtu amekaa benchi la mbele yetu anasoma kitu kwenye simu yake,kutoa macho vizuri kumbe yupo Jamiiforum,kuangalia upande wangu wa kulia nikamwona mwingine naye yupo jamiiforum,kuangalia nyuma yangu nikamwona mwingine tena,,hehehe nilishangaa nikajiuliza Jf inatupeleka wapi???Kazi tunayo!
Hebu angalia gia iko reverse au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom