Hata Samia mwenyewe ni mtukanaji mzuri tu na pia ni mbwatukaji mbobevu.JF haikufungiwa sababu ya matusi , bali kuanika ufisadi katika mgodi wa makaa ya mawe , tuweke rekodi sawa.
Matusi yapo kila mahali, huwezi zuia matusi mahali penye mikusanyiko maana tunakutana watu wa aina tofauti, kuanzia makuzi hata exposure.
Wapare wabishi sanaIpo hivyo ;
Ila jamaa ni mtu wa ligi.
Hivi ni kweli ulimpaka futa Diamond 🔹 au uzushi tu?MAMBO 5 YA KUZINGATIA UKIWA KATIKA IBADA
𝙔𝙊𝙃𝘼𝙉𝘼 4:24
ili isiwe tukio la kawaida Ibada bali iwe ni kukutana halisi na Mungu.
1️⃣ ANDAA MOYO WAKO
Usiingie ibadani kama umeingia sokoni.
Jiandae kwa:
✓Toba
✓Msamaha
✓Kutuliza mawazo
Katika Kitabu cha Mhubiri 5:1 Biblia inasema Linda mguu wako uingiapo nyumbani mwa Mungu.
✓Maana yake ingia kwa heshima na umakini.
2️⃣ KUWA NA UMOJA WA MOYO (FOCUS)
Epuka
✓Simu kukuvuruga
✓Mazungumzo yasiyo ya lazima
✓Mawazo yanayokutawanya
Katika Zaburi 46:10
Nyamazeni, mjue ya kuwa Mimi ni Mungu.
✓Utulivu huleta ufunuo.
3️⃣ SHIRIKI KWA ROHO NA KWELI
✓Usiwe mtazamaji
✓Imba kwa moyo
✓Sikiliza Neno kwa makini
✓Jibu Amina kwa ufahamu na Kwa Upole
Kama ilivyoandikwa katika Injili ya Yohana 4:24 Wamwabuduo imempasa kumwabudu katika roho na kweli.
Ibada si burudani, ni ushirika na Mungu.
4️⃣ HESHIMU UWEPO WA MUNGU
Kumbuka uko mbele za Mfalme wa wafalme.
Epuka
✓Kicheko cha mzaha
✓Kutoka nje bila sababu
✓Kukosa adabu
✓Uwepo wa Mungu hauonekani kwa macho lakini unahisiwa rohoni.
5️⃣ POKEA NA WEKA KATIKA MATENDO
✓Usiishie kusikia tu
✓Andika mambo muhimu
✓Tafakari baada ya ibada
✓Tekeleza ulichofundishwa
Katika Waraka wa Yakobo 1:22
Kuweni watendaji wa neno wala si wasikiaji tu.
Ibada ya kweli huonekana kwenye maisha baada ya ibada.
𝗡𝗶𝗸𝘂𝘁𝗮𝗸𝗶𝗲 𝗜𝗯𝗮𝗱𝗮 𝗻𝗷𝗲𝗺𝗮 𝗠𝘁𝗲𝘂𝗹𝗲 𝘄𝗮 𝗕𝘄𝗮𝗻𝗮
Huyu ni mzushi kama wazushi wengine tu apuuzweMtoa mada taarifa za kufunguliwa jf umezitoa wapi? Maana huwa wenye platform wanatoa taarifa in case kuna habari mpya. Sasa umetoa wapi hii taarifa wakati wengi bado tunaingia jf kwa kutumia virtual network?
Hebu ingia leo bila VPN uone kama unaweza? Hii kuingia bila VPN imeshatokea mara kadhaa, labda ww ndio hukuwa unajua.Imefunguliwa kwenu.
Mimi naingia bila VPN
Kweli nimeona iko FREE tena bila VPN.Haijafunguliwa, nadhani wamejisahau tu. Baada ya muda mfupi lazima utumie VPN tena kuingia.
Matusi humu ni machache, kisichotakiwa na serekali ni ukweli.
Jukwaa hili halikufungwa kwa sababu ya matusi, bali ni kwa kuongea ukweli usioipendeza Serikali.
HamnMbn humu jf sijaiwai kuona mapisi kali ama hamn
Operamin mkombozi wa wengiKazi ianze.
Operamin ashukhuliwe sana ameshindikana hata wafanyaje Operamin hataki kufungwaHaijafunguliwa.
Saazingine huwa app inamissbihave inaachia na baadaye kujifunga tena.
Emb rudi nyuma uone kama utaweza kuingia bila Vpn mkuu.
Huyu mtoa mada anapenda sana kujipa ego anasahau kuwa ego is the enemy anadai eti tulikuwa tunatukana wakati majamaa yakikosolewa ndio yanazima jf yetu huyu jamaa miyeyusho sana aiseeMtoa mada taarifa za kufunguliwa jf umezitoa wapi? Maana huwa wenye platform wanatoa taarifa in case kuna habari mpya. Sasa umetoa wapi hii taarifa wakati wengi bado tunaingia jf kwa kutumia virtual network?
Happy valentine dear 😃Acha ujeuri mrembo. Ngoja nimuite Evelyn Salt
Mashallah mtoto WA kimanga umenikumbukaHappy valentine dear 😃