JF ilipotaka kuchukuliwa msukule kisha igeuke zombie

Ni mbinu ya kisayansi inayohusu ufundi wa vifaa hasa vitumiavyo umeme mfano mashine n.k ili kurahisisha kazi za binadamu.
Ningeendelea kukuuliza sayansi ninini....ila baada ya kuona umezungumzia umeme nimeacha kuendelea kwakuwa umeme ni segment ndogo tu kwenye ulimwengu wa nishati...kuna point muhimu umeziacha
 
najua unajua ndio maana sijadadavua yote maana we si mtoto wa upili mpaka utembezwe na visoda shingoni.
 
Wakati mwingine mgonjwa huonekana anapiga stori lakini mwishowe hukata roho ndipo hapo ndugu wanaanza kusema hatuamini kama kafa hapo kama kuna wenye imani potofu hukimbilia kwa mganga
 
Unavyo pende Kuya dadavua haya mambo
Ajabu usikute Jitu lioga la kurogwa vibaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom