Alafu kanishangaza sana eti kiingilio laki tano hivi bro unaejielewa kweli, Nina uzoefu wa kuandaa hafla kibao ukitumia neno Bure una mana kuwa asilimia zote mademu watakao ingia humo sio member wa jf ni wale zoazoa karibu kupangilia mambo kisimi ili kuwatoa watu hofu, Kuna mashaka ata ya usalama pia kiingilio cha Bure una mana hata wale mademu wanywa viroba ruksa sababu I'd za jf ni tofauti na za insta au fb ambapo ingekuwa unawafahamu walengwa, bro hapo usha feli wazo zuri tena zuri sana ila limekosa mipango mizuri na ya kisomii umechukilia kama wahuni bila kujua humu Kuna waheshimiwa, Kuna watu na familia zao, celebrity nk bro panga upya urudi tena, samahan kama nmekukosea bro