comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,067
- 15,997
- Thread starter
- #61
#wasomiwanchi
😂😂😂 Sehemu za starehe usilete mambo ya siasaHii party huenda wanamsaka britanicca ..mpaka waje wajuwe hayumo miongoni mwao
.mbupu zitakua zimeteguka sana
Mapema sana 🔥 🔥 🔥 🔥Nitakuwa DJ ngoma zote mfanye request mapema..
Pia kama una parody lako,
kama una confession kwa mtu uliyemmendea kwa miaka leta kwangu Nita announce siku hiyoo
Pia wale wenye wanataka special treatment kama kuvishana Pete na kadhalika napokea recomendation
Mwisho wa mwaka patakua pamoto sanaNimekumbuka samaniii......
Cc: Mtambuzi, Paloma wengine nishasahau aiseee...🤥
Mtazamo wa ki buza buza bwashee, maeneo ya buza na bar za uchochoroni ndio kuna pigo za hivyoKwenye ulimwengu huu ambao kuna wanawake matajiri, wakurugenzi, Marais, mawaziri, na wenye viator.
Huo mtazamo wa wanawake kuingia burebure kumbe bado upo katika akili za Great Thinkers wa JF? Hili linashangaza sana.
Ni kwamba umewadharau?
Au humu wanawake ni maskini sana?
Au wamekaa kizamani kama pombe za jadi au kitu gani?
Kwako muandaa party
sawa utakuwa escort wangu 😁hapan jirani siwezi kwenda labda nikusindikize wew😻
hii imeisha ngoja tusubiri tarehe💃sawa utakuwa escort wangu 😁
Nimekataa subiri darasa letu mwezi wa 12 sawa?
Nishakwazika tayari ulipe fain sasa 😊Sasa darasa ni darasa, pati ni pati. Anyway sitaki kukukwaza. Sawa. 😊
Kama ana connection ila Hana mvuto itabidi aingie na 500kHii nchi ina vijana wa hovyo sana. Hujui kama ambao hawana mvuto wanaweza kuwa na connection kubwa kuwazidi hao wengine.Kijana Yunge angekuwa na akili hizi asingeingia ikulu.
Nishakwazika tayari ulipe fain sasa 😊
Unataka nije kwenye party za unyakuo😅😅Umekwazika kisa nini? 😊
Bamtu nitakuwa na wewe.Houseparty nasikia mnawekana live, au ni ushamba wangu?
Unataka nije kwenye party za unyakuo😅😅
Kama huna mvuto tunaoutaka tutatumia kigezo cha kuingia na 500kKwenye ulimwengu huu ambao kuna wanawake matajiri, wakurugenzi, Marais, mawaziri, na wenye viator.
Huo mtazamo wa wanawake kuingia burebure kumbe bado upo katika akili za Great Thinkers wa JF? Hili linashangaza sana.
Ni kwamba umewadharau?
Au humu wanawake ni maskini sana?
Au wamekaa kizamani kama pombe za jadi au kitu gani?
Kwako muandaa party