JF Houseparty

JF Houseparty

Mkuu kwahiyo sisi makapuku hiyo party haituhusu maana hiyo hela uliyosema mtakagua wengine tunaisikia tu hatujawahi kuishika
 
Naanda hili tukio, kabla mwaka haujaisha lazima tulifanye.

LOCATION itakua dar.

Kiingilio kwa wanawake itakua free, cha msingi uwe njema, wanaume kiingilio Bure ila cha msingi usikose 500k ya KUINGIA nayo ndani, (TUTAKAGUA KAMA UNAYO KABLA YA KUINGIA KWA AJILI YA KUTUMIA NA WAREMBO)

KWA WAREMBO WA JF KIINGILIO NI MVUTO WAKO, USAFIRI,KULA KUNYWA, JUU YETU SISI WAANDAAJI.

View attachment 3647799
Fight night millionaire, hii movie ilichezwa kutoka na tukio km hilo japo sio kwa asilimia 100,
Ukihakikisha watu 100, wamebeba 500k, unapata 50000000,
 
Back
Top Bottom