comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,083
- 16,024
- Thread starter
- #281
Nalalaje na tupo busy na maandaliziHahahaaaaa🤣🫵🫵 kaka hivi unalalia kweli , mana house party Isha kurusha roho, hahaaaa 🤣
Nalalaje na tupo busy na maandaliziHahahaaaaa🤣🫵🫵 kaka hivi unalalia kweli , mana house party Isha kurusha roho, hahaaaa 🤣
Safi sana hakikisha mafuta ya Nazi yawepo ya kutosha mkuu, usifikirie vibaya mkuu namnisha ukitoka kwenye swimming unajipaka🫵🫣🤣🤣🤣Nalalaje na tupo busy na maandalizi
Mkuu unajaribu kuwaza nini? 😹Lamomy ,Binti wa zamani ,cocastic ,Aaliyyah ,Khantwe Madame B,Dr. Mariposa mh, sipati picha baada ya wine kuchanganya...............
Nb: Hawa ndiyo makungwi wa JF!!!!!!!!!!!
Parachute muhimuSafi sana hakikisha mafuta ya Nazi yawepo ya kutosha mkuu, usifikirie vibaya mkuu namnisha ukitoka kwenye swimming unajipaka🫵🫣🤣🤣🤣
Tutajua tutakusaidiaje sisi kama kamati.Sawa kaka ila mi nili tumbuliwa kwenye utumishi, hivo mambo ya Salio la laki tano sio poa, nikifika takuita pembeni nikupange usiropoke sasa Kwa sauti, ukaushe bhana
Ebhanaeeeeh yesssssss, aizat, ephen, cocastic lazima nipite na Mmoja hapo, ubarikiwe mkuu🙏🙏🙏🙏😂Tutajua tutakusaidiaje sisi kama kamati.
Wote hao wanaumeEbhanaeeeeh yesssssss, aizat, ephen, cocastic lazima nipite na Mmoja hapo, ubarikiwe mkuu🙏🙏🙏🙏😂
Ohoooooooooo, usinambie mkuu ila aizat no, hiyo sketi mkuu na ephen huyu sketi labda coca-cola😂😂😂😂Wote hao wanaume
Sasa kwenye ku Paree kuna kupumzika mam2 jamani. Ule music unamuachia nani treeenaaa.Mimi nataka nifike nipumzike sitaki hekaheka jamani☺️
Si ndio pale!! Nilitaka kushangaa sitaki mtu anipe ubize wowote ni humu tuuSasa kwenye ku Paree kuna kupumzika mam2 jamani. Ule music unamuachia nani treeenaaa.
Sikuombei ila umwakinyo ni noma aaah saaanaaa.Hee sitaki hayo mambo yanitokee na kwanini nijiungamanishe na mwakinyo kwenye haya maisha mafupi🤣
Basi basi basiii mama mwali tuliaaaa wachie waalikwa kakaeee please.
Namshukuru sir God sijawahi kumbana na hizo headache maishani😃Sikuombei ila umwakinyo ni noma aaah saaanaaa.
Nimerudisha mbupu ndani☺️Basi basi basiii mama mwali tuliaaaa wachie waalikwa kakaeee please.
Broo nimecheka kwa sauti nimewaza zinavyorudi ndani aiseeeNimerudisha mbupu ndani☺️
Hiyo ni noooma sana aiseeNamshukuru sir God sijawahi kumbana na hizo headache maishani😃
Bruh! Usicheke nikurudisha mkia ndani tu hakuna namna🤸🏽♂️😁Broo nimecheka kwa sauti nimewaza zinavyorudi ndani aiseee
Hakuna kitu kama hichoKuna watu wana windwa, sasa jichanganyeni mkadakwe.
Kila la kheri.