comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,073
- 16,008
- Thread starter
- #201
Idea nzuriInapendeza zaidi ianze jioni saa 12 hadi kuchee asubuhi make up za walimbwende zitayeyuka mapema
Idea nzuriInapendeza zaidi ianze jioni saa 12 hadi kuchee asubuhi make up za walimbwende zitayeyuka mapema
Hakuna mtu anapanda mbegu zake katikati ya lami mjukuu! Kipepe hawezi kupanda mbegu kwenye mwamba😅😅Kipepe atanipa pesa☺️
Kikusanye ili hiyo siku umkabili mtu kikamilifuNina kichupa asikwambie mtu
Sio mbayaSwala labburudani mniachie, Ntakuja na praise and worship team yangu.
Kwahiyo unataka kusemaje? Kwamba kipepe hawezi kunipa mimi pesa🙄Hakuna mtu anapanda mbegu zake katikati ya lami mjukuu! Kipepe hawezi kupanda mbegu kwenye mwamba😅😅
Pesa anayo au unampanga tu mdogo’etu?Kikusanye ili hiyo siku umkabili mtu kikamilifu
Akionyesha ushirikiano tutajua tunamsaidiaje sisi kama kamati ya maandaliziPesa anayo au unampanga tu mdogo’etu?
Hutapigwa picha hapo ni kimya kimyaLabda tukubaliane hakuna kupigana picha
Mumsaidie kwa kumgawia binti!😂 basi mjipange haswaa!Akionyesha ushirikiano tutajua tunamsaidiaje sisi kama kamati ya maandalizi
Naanda hili tukio, kabla mwaka haujaisha lazima tulifanye.
LOCATION itakua dar.
Kiingilio kwa wanawake itakua free, cha msingi uwe njema, wanaume kiingilio Bure ila cha msingi usikose 500k ya KUINGIA nayo ndani, (TUTAKAGUA KAMA UNAYO KABLA YA KUINGIA KWA AJILI YA KUTUMIA NA WAREMBO)
KWA WAREMBO WA JF KIINGILIO NI MVUTO WAKO, USAFIRI,KULA KUNYWA, JUU YETU SISI WAANDAAJI.
View attachment 3647799
Kumbuka kisa cha mpanzi halafu urudi hapa😅Kwahiyo unataka kusemaje? Kwamba kipepe hawezi kunipa mimi pesa🙄
Nakikumbuka vizuri tu, hebu acha mimi nipewe babu mbona unaweka vizingiti🥹Kumbuka kisa cha mpanzi halafu urudi hapa😅
Tunawaza location itakua na gorofa Moja, swimming pool muhimu, mziki wa taratbu na nyamachoma za kuku na ng'ombe
Sawa mjukuu,Nakikumbuka vizuri tu, hebu acha mimi nipewe babu mbona unaweka vizingiti🥹
Mtazamo wa ki buza buza bwashee, maeneo ya buza na bar za uchochoroni ndio kuna pigo za hivyo
Usinifanyie hivoo🙄Sawa mjukuu,
Milio sitaki tu😅😅
Mbingu Iko mbali Sana😅Siwezi kamwe kuhudhuria party za unyakuo😊
😂😂😂Shughuli itaanza sa4 asubuhi mpaka kucheee siku ya pili