comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,074
- 16,010
- Thread starter
- #101
Hizo sio gari za sehemu ya stareheMtakuja na land cruser ngapi ili tujipange?
Hizo sio gari za sehemu ya stareheMtakuja na land cruser ngapi ili tujipange?
Anawazoom tu😂😂😂
Sawa 😊Haya sawa. 😊
Tutaparty lakini labda iwe Virtual House Party.Haya ni mawazo yako
Acha kutisha watuMkiingia ndani tu polis inahamia hapo na id moja moja hadi mjitaje😂😂😂😂
😁😁😁Lucas Msandambwa asije maana watamgawana vipande vipande
Hapo tu bado nakudai 500k yangu😒500k inatosha
Jamani 🤣🤣🤣Lucas Msandambwa asije maana watamgawana vipande vipande
Broski unipitie na lile tambo lako😎Ladies free km Bill's siku ya alhamis Enzi zileeeeee JK
Kuna mtu unataka kumuingiza kingiWakuu kama kuna mtu ana picha ya x-ray ya mguu aweke hapa chapi kuna tatizo la kiufundi hapa
Unajua huko wanawekana live lakini?😅😅Utajitahidi tu
Jumla itakua 1MHapo tu bado nakudai 500k yangu😒
Pesa ndogo kama hiyo tunadaiana kiasi hiki mkuu🥲Jumla itakua 1M
Sitaki ubabaishaji kaa rada nikipita hapo nakunyakua km mwewe.Broski unipitie na lile tambo lako😎
Mambo mazuri yanakuja, inabidi ipande kiwangoPesa ndogo kama hiyo tunadaiana kiasi hiki mkuu🥲
Say no more mamaake, utanilaza na viatu🤸🏽♂️Sitaki ubabaishaji kaa rada nikipita hapo nakunyakua km mwewe.
Kabisa ba mkali!☺️Mambo mazuri yanakuja, inabidi ipande kiwango