JF Houseparty

JF Houseparty

Dah, nilileta Uzi hapa majuzi kua nimekutana na mademu wa bichi wa jf Kwa bahati mbaya sijakutana na Mzee, nikaanza kupigwa vita nilisemwa sana sasa na swali dogo tu mleta mada kama humu wamo wazee tu hao madada wa jf mnao waalika wanatoka wapi ilihali humu ni wazee? Muwe mnatumia akili basi siku Moja moja
 
Kwenye ulimwengu huu ambao kuna wanawake matajiri, wakurugenzi, Marais, mawaziri, na wenye viator.
Huo mtazamo wa wanawake kuingia burebure kumbe bado upo katika akili za Great Thinkers wa JF? Hili linashangaza sana.

Ni kwamba umewadharau?
Au humu wanawake ni maskini sana?
Au wamekaa kizamani kama pombe za jadi au kitu gani?

Kwako muandaa party
Alafu kanishangaza sana eti kiingilio laki tano hivi bro unaejielewa kweli, Nina uzoefu wa kuandaa hafla kibao ukitumia neno Bure una mana kuwa asilimia zote mademu watakao ingia humo sio member wa jf ni wale zoazoa karibu kupangilia mambo kisimi ili kuwatoa watu hofu, Kuna mashaka ata ya usalama pia kiingilio cha Bure una mana hata wale mademu wanywa viroba ruksa sababu I'd za jf ni tofauti na za insta au fb ambapo ingekuwa unawafahamu walengwa, bro hapo usha feli wazo zuri tena zuri sana ila limekosa mipango mizuri na ya kisomii umechukilia kama wahuni bila kujua humu Kuna waheshimiwa, Kuna watu na familia zao, celebrity nk bro panga upya urudi tena, samahan kama nmekukosea bro
 
Hiyo ni nmna Yako ya kuandaa umeisema wewe, sisi tuna ya kwetu, kiufupi umekua msemaji wa waaandaji wakati hujui kinachoendelea
 
Wapi nimejitambulisha kuwa msemaji? Umelet. Humu tuchangie mada nachangia unaanza visababu, unge ni fafanulia shida inge toka wapi mkuu? mi ni star mkubwa hapa bongo unaposema watu waingie Bure nime ogopa kaka, hakutakia na usalama na mpangilio
 
Back
Top Bottom