nha! nha! u said nipo shallow, but we upo slow,na kwenye gemu bado una still grow, kiakili bado upo narrow kama kiuno cha mrembo, kijana unaishi bila malengo, njoo kwangu nikupe mafunzo, kimtindo, me nakula bingo, we utabaki hivyohivyohapa unadeal na kichwa next level, mwabaluhi, kwa maudhi, nakuudhi, ME NDO KING, WE NDO Wangu mfuasi njoo tena!
Hahahahaha sauti ya kicheko,
Eti nawe next levo, ebooo!
Arachuga wameishiwa hadi gucci uwemo?
Tupa mic huna vigezo,
Wee si mc wa demo?
Freestyle zako dirt zataka omo,
Hapa michano no kikomo,
Natisha zaidi ya wana sumo,
Be tha man nipe mkono,
Ama just kiri kwa mdomo,