JF Freestyle battle special thread

mchizi umekurupuka anga hizi za mavampire,
wewe mtoto sura nzuri tutakufanya vibaya,
Kimistari tuko fiti zaidi ya katerero na wahaya,
Stick hizi double finga katikati ya makalio,
Umechemsha dogo anga hizi kwako sio,
We tozi infamous, mjepu nakupa nauseauos,
kwa hizi rhymes zenye counscious,

umetry kubaro japo mashairi yako choka kama kiporo,
unauwezo wa kukopa, una mimba ya mdomo ndo maana hutoki hata kwa promo,
huna mtisho wa rymths kiuwezo umezama na mistari yako mama,
nikikuangali unavyovutia, naharakisha nikupate kabla hujaolewa,
nikubali mimi rijali ntakutunza upendeze wakutamani mamentali,
unangaa, nikikushika mkono moyo unashtuka paa, kaa na mi utulie kila time ntakupa mwaaa.

word up.
 
Naona umemtusi jamaa kakacha kabisa:coffee:
 
Habari zenu bhana!!, baada ya kula ban skul, naomba mtu yoyote mwenye kipaji cha kuchana mistari tushindane;

aah! wana niita Pat Gucci,
mwanaharakati aliyesimama kama mnara,
ninae saka haki yangu bila ya kuogopa serikali,
hustler wa kitaa mwenye msimamo mkali,
kama kamanda jemedali, kijana mwenye ndoto za kushika uskani wa nchi hii, inayonywa na mafisadi,
me ni mgumu sio ka hao watoto wa mama, au hao watumia poda but me........(TO BE CONTINUED)
 
Sasa hiyo ndo mistari iliyosimama???

Siku ukipiga hatua kama mbili niambie nifanye kweli!:A S-baby:
 
Kijana naweza kusema hueleweki,
wenzako wabiga buku wewe hapa umebaki,
nimeona thread unachonga ticha kakushitaki,
alivyokuta una simu Jf unachati,
chezea vingine lakini siyo shule,
kama unabisha muulize J' Haule,
kwenye chemsha bongo aliweka kipaumbele,
Vijana tupige shule tuache kimbele mbele,
na misifa misifa isiyokuwa na future,

Nitarudi............
 
Ngoja waje mabingwa wa ma freestyle Kina Nguli,Teamo,Asprin na wengineo kama hutakimbia Kitaa .
 
Kijana naweza kusema hueleweki,wenzako wabiga buku wewe hapa umebaki,nimeona thread unachonga ticha kakushitaki,alivyokuta una simu Jf unachati,chezea vingine lakini siyo shule,kama unabisha muulize J' Haule,kwenye chemsha bongo aliweka kipaumbele,Vijana tupige shule tuache kimbele mbele,na misifa misifa isiyokuwa na future,Nitarudi............
ooh men, skiza kwanza nikupe mistari ya freestyle,mi mkali,hata bila ya kwenda class,mi nipo flexible, JF na skul naweza handle,if u cant do 2 thngz at a time, its beta ukae kando,coz me ndo kamando,nadhani unshansoma hapo,NTAKUJA BAADae tena!
 
Ngoja waje mabingwa wa ma freestyle Kina Nguli,Teamo,Asprin na wengineo kama hutakimbia Kitaa .
You lady, mbona unakua kama kichwa maji,Mimi ninatisha kwa sababisha,Bongo, Mbeya mpaka pande za Arusha, Hao kina Aspirin Teamo wakija, ntawaadabishana nitawakalisha alaf nawahusisha,na huwezi kubisha, coz nakufundisha maisha....Are u there FirstLady?
 
Nikcheck jina "Pat Gucci" obvious we n sharobaro,
namsikitikia wako mama katupa karo,
zingatia xkul acha umero,
jipange leo ule bata 2moro,
kijana ukisanda necta kitaa utavuta ugoro,
ona hi state daily migogoro
si siasa,uchumi ona maendeleo doro,
Rud xkul pga kitabu ondoa na ticha zenu kasoro
kamwe ucwe mtoro, zngatia assignment usiwe na viporo.
si unaona ma csta kitaa wanapigwa ubo* sabab kutafuta mlo.

watsup watsup!
 
mwanzo nilipoona mistari
nikajua we mkali
nachek mashabiki na wala hawakujari
hip hop mchezo mkali,nini cc wenye vipaji we kaa mbali
 
Nikcheck jina "Pat Gucci" obvious we n sharobaro,
namsikitikia wako mama katupa karo,
zingatia xkul acha umero,
jipange leo ule bata 2moro,
kijana ukisanda necta kitaa utavuta ugoro,
ona hi state daily migogoro
si siasa,uchumi ona maendeleo doro,
Rud xkul pga kitabu ondoa na ticha zenu kasoro
kamwe ucwe mtoro, zngatia assignment usiwe na viporo.
si unaona ma csta kitaa wanapigwa ubo* sabab kutafuta mlo.

watsup watsup!

Chukua tano mic
Kwa kumchana dogo kwa haki
Asanuke twasepa ye abaki
Verse zake zimefubaa zaidi ya kaki
Hapa Mistari zaidi ya laki
Aseme suuu Ntarudi kindakindaki
 
Nikcheck jina "Pat Gucci" obvious we n sharobaro,
namsikitikia wako mama katupa karo,
zingatia xkul acha umero,
jipange leo ule bata 2moro,
kijana ukisanda necta kitaa utavuta ugoro,
ona hi state daily migogoro
si siasa,uchumi ona maendeleo doro,
Rud xkul pga kitabu ondoa na ticha zenu kasoro
kamwe ucwe mtoro, zngatia assignment usiwe na viporo.
si unaona ma csta kitaa wanapigwa ubo* sabab kutafuta mlo.

watsup watsup!

Sana, sana umesema la maana,
kama ana akili basi angeungama,
Kijana mbishi ni hasara kwa mama,
sharobaro analeta masihara,
shule na bangi matokeo yake atahara,
dunia ndiyo itampa bara bara,
asiyesikia la mkuu, basi tu ana hasara,

nitarudi....
 
Naona mshakua zaidi ya wawili,
but am stand still,
i can see mnavunga, badala ya kuhanya,
me ni one man army,
so kama vp anzeni kujihami,
Dude toka A City,
kufunika Fake MCs, wa Forum ya Jamii,
nadhan bado hamjanisoma, nakuniuliza mnaona noumer,
mm ni first class MC, kazi kwenu kuongeza speed,
ilimfike levo hizi makini,
za kimashairi, Nawacheki mkitoa vina ambavyo havina vina, njo kwa Pat Gucci akupe ufumbuzi wa kina.......

Nita come back tena!
 
mwanzo nilipoona mistarinikajua we mkalinachek mashabiki na wala hawakujarihip hop mchezo mkali,nini cc wenye vipaji we kaa mbali
wenye vpaji waga hatujisemagi, kwanza kijana huna hadhi,Ya kum'judge Pat Gucci,m2 wa mapinduzi bila ya kipingamizi,Na kama un2mia mizizi,Hapa nilazima nikubwage chini,Maneno mengi kwa sentensi, Lakini umetoa point sifuri,Dogo ka chini, nikupige pindi...
 
Naona mshakua zaidi ya wawili,
but am stand still,
i can see mnavunga, badala ya kuhanya,
me ni one man army,
so kama vp anzeni kujihami,
Dude toka A City,
kufunika Fake MCs, wa Forum ya Jamii,
nadhan bado hamjanisoma, nakuniuliza mnaona noumer,
mm ni first class MC, kazi kwenu kuongeza speed,
ilimfike levo hizi makini,
za kimashairi, Nawacheki mkitoa vina ambavyo havina vina, njo kwa Pat Gucci akupe ufumbuzi wa kina.......

Nita come back tena!

Yepi yaaa yepi yeee nadunda
Kimyakimya magumashi utasanda
Verse zako mfu twazivika sanda
Hazikubali beat plus kinanda
Dalili author wake gamba
Kama yale ya kijani twayaponda
Uko shallow mic teknik kiraza
Kwa flow goigoi wawaza
Paranoia kichwani yakukwaza
Hebu kimya gamba we nyamaza

Ntarudi
 
Yepi yaaa yepi yeee nadundaKimyakimya magumashi utasandaVerse zako mfu twazivika sandaHazikubali beat plus kinandaDalili author wake gambaKama yale ya kijani twayapondaUko shallow mic teknik kirazaKwa flow goigoi wawazaParanoia kichwani yakukwazaHebu kimya gamba we nyamazaNtarudi
nha! nha! u said nipo shallow, but we upo slow,na kwenye gemu bado una still grow, kiakili bado upo narrow kama kiuno cha mrembo, kijana unaishi bila malengo, njoo kwangu nikupe mafunzo, kimtindo, me nakula bingo, we utabaki hivyohivyohapa unadeal na kichwa next level, mwabaluhi, kwa maudhi, nakuudhi, ME NDO KING, WE NDO Wangu mfuasi njoo tena!
 
Habari zenu bhana!!, baada ya kula ban skul, naomba mtu yoyote mwenye kipaji cha kuchana mistari tushindane;

aah! wana niita Pat Gucci,
mwanaharakati aliyesimama kama mnara,
ninae saka haki yangu bila ya kuogopa serikali,
hustler wa kitaa mwenye msimamo mkali,
kama kamanda jemedali, kijana mwenye ndoto za kushika uskani wa nchi hii, inayonywa na mafisadi,
me ni mgumu sio ka hao watoto wa mama, au hao watumia poda but me........(TO BE CONTINUED)

Dogo kuwa macho,
Haya maisha kichezea watakupakata
Utauza tigo ili pate japo dala
Skul si mchezo dogo nakuambia
mambo ya kuchana bongo haya fyucha
Utapaka wanja watu wakupigie misere
mama yako dogo ana hasara kubwa
Kuwa Makini dogo lasivyo utaishia lango la jiji
Utaombaomba watu watakupakata
Yo yo yo men
 
Back
Top Bottom