Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Awwww....Kusema mistari yangu imekonda ni kama vile unajiponda ..maana yangu inaubora ambao yako haina imedorora...imelala imesinzia hata kibaka hawezi pora.Kwanza wewe ni kilaza na garasha utalamba kwa kukaa home umejitanda kama mtoto wa kitanga...ushamba..unamba cheo nakutunukia.Ulianza na JF darasani kupitia mpaka mwalimu akagundua ukaja hapa unalia ..bimkubwa vipi atatulia huna hata namna ya kumshawishi ticha mpaka akapotezea.Mtoto wa mama nakwita ...au labda mshamba wa kitaa kila saa unangaa badala ya kupambana uwe shujaa...kwa sifa za kijinga umepumbaa eti mi sio wakata chamaa....Khaaa usishangae nashangaa unavyojiona unapaa bila hata ya chapaa maana umezoea kila saa kuomba mkwanja kwa mamaaLizzy, kumbe u dnt know how to do it, and this iz how we do it, mistari yako imekonda, so sina budi kuiponda, samahan kama nakutonesha kidonda, kweny HipHop me ni founder, kwanza hapa jilete, kwenye game nikufunde, uliukirudi kitaa kwenu udunde, Mimi ndo MC mtata matata, ambae cjawahi soma xul ya kata, nikilianzisha huna budi kunifuta, kwanza ww bado mshamba, ni bora urudi za shamba, ukalime karanga...