chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,490
- 2,574
Mi mtukutu ka madenge /Ww ni mamba? Dadekii leo mtageuka kenge
Nawakimbiza ka mbio za mwenge /mpaka miguu iote matege
Gangster nisiyenyonga nyasi /ligi ndogo mwachie bill Nas
Niite komando kipensi /askofu wa mikasi
Dent mwenye lower class /nakimbiza hawa first class