JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Demokrasia, demokrasia, demokrasia!

Hakuna awamu unayoweza kuongea yako ya moyoni kama hii, yawe ya ukweli yawe ya uongo. Kumbuka hilo.

Kama ni demokrasia ya hivyo na hatuhitaji,hao wenye Nchi zilizo na Demokrasia ya ukweli bado linapofika swala la Kiongozi kuonyesha leadership unamuona anasimama mahali pake.Hapa kwetu hii ni style ya uchonganishi tu,huchukui maamuzi unakimbia majukumu unaacha watu wanaparurana ili tu usionekane mmbaya kwa kila upande.
 
Invisible
Hajakosea chochote ila ametoa tahadhari tu kuwa wanachofanya au kama wamedhamiria kukifanya waache ripoti ipo kwa watu,waache bunge lifanye yake.

Unafikiri watu wakitaka kufanya yao Invisible anaweza kuzuia kitu?
 
FF kuna zaidi ya kurasa hizo uzionazo, hizo ni kama zimetumika kuonesha kuwa wadau wanayo ripoti nzima...

Kurasa zenye mbivu na mbichi wala si hizo mbili bali zimetulia tuli zasubiri wakati muafaka wa kuziweka hadharani pale tu ukweli ukipindishwa...

Sijui kama umeelewa...

Umemjubi dada lakin wacha mm kaka nikujibu kidogo.
Kulingana na uandikaje wake amesema hizo ndio karatasi zilizotolewa, sasa lakujiuliza ni kitu kipo cha kutisha ktk hizo karatasi alizotuwekea hapo? Ama ni sample?
 
Kama hana uwezo wa kuchuja basi hakustahili kuwa Rais.

Kweli mkuu, Rais anaonyeshwa kipande cha chupa akaambiwa ni almasi naye akakubali hafai kuwa Rais wa nchi yoyote ile.
 
"Maamuzi ya Mahakama Kuu yatekelezwe kama alivyoshauri AG" By Jakaya Mrisho Kikwete!

Ndiyo maana wewe mdini nimekuuliza, Hukumu gani hiyo? Au Bwana Mkubwa aliingizwa mkenge tu na AG?
hapo hamna kesi,kumbe hata issue ya capasity charge ilikua resolved kabla pesa haijatoka,soma doc yote utaona.
hata kodi hizo pesa hazikutoswa juu ni capasity charge
 
Ina maana wakati ex-CAG Utouh anastaaf ripoti ilikua haijakamilika? inamaana spika Anne Makinda alitoa wapi manaeno ya kuwa isingekuwa bunge la katiba hii ripoti ingeondoka na mawaziri na vigogo wengine wa serikali? au baada ya yeye kustaafu ikabidi ripoti ikarabatiwe?
Nasema hivi kwani naona ripoti hii imesainiwa na kaimu huenda ilikarabatiwa.
Watanzania wanataka ukweli jamani, toeni ripoti sahihi kuokoa nchi.
 
Duh Mungu wangu mbona BOT wamechafua hali ya hewa? Nani kabaki sasa kwa kuwa malipo yalikuwa na baraka za mwenye nchi?

Hii escrow imekuwa kokoro, imemwingiza kila mtu. Naona BOT wamejitetea lakini katika kujitetea kwao Kunawafanya wao watoke lakini mkuu wa nchi anaingia mzima mzima.
 
Paul peter kimiti nae yumo 40.4 mil..list ni ndefu aisee natoa Moja moja
 
zamani manyerere jackson nikijua ni very bright kumbe..
mwandishi mzima anadonoa sehemu za sentensi na kuweka hapa ili kutaka kuprove kitu ambacho hakipo,kha...!!
 
Kama ni demokrasia ya hivyo na hatuhitaji,hao wenye Nchi zilizo na Demokrasia ya ukweli bado linapofika swala la Kiongozi kuonyesha leadership unamuona anasimama mahali pake.Hapa kwetu hii ni style ya uchonganishi tu,huchukui maamuzi unakimbia majukumu unaacha watu wanaparurana ili tu usionekane mmbaya kwa kila upande.

Wako wapi wanao "parurana"?

Unachokiona sasa hivi ndio demokrasia, pitia kwenye siasa za USA, ndiyo utajuwa maana ya ku"parurana".
 
Duh Mungu wangu mbona BOT wamechafua hali ya hewa? Nani kabaki sasa kwa kuwa malipo yalikuwa na baraka za mwenye nchi?

Hii escrow imekuwa kokoro, imemwingiza kila mtu. Naona BOT wamejitetea lakini katika kujitetea kwao Kunawafanya wao watoke lakini mkuu wa nchi anaingia mzima mzima.
bot wameeleza vizuri ila wewe umetafsiri unavyotaka
 
"Maamuzi ya Mahakama Kuu yatekelezwe kama alivyoshauri AG" By Jakaya Mrisho Kikwete!

Ndiyo maana wewe mdini nimekuuliza, Hukumu gani hiyo? Au Bwana Mkubwa aliingizwa mkenge tu na AG?

Hii issue iko kwa AG; kama alikosea kutafsri hukumu, that is up to him! But Kitendo cha issue kufika kwenye ofisi yake.. na akatoa tafsi who else ambaye alitakiwa kusikilizwa kama sio yeye kwa katiba ya nchi?
 
"Maamuzi ya Mahakama Kuu yatekelezwe kama alivyoshauri AG" By Jakaya Mrisho Kikwete!

Ndiyo maana wewe mdini nimekuuliza, Hukumu gani hiyo? Au Bwana Mkubwa aliingizwa mkenge tu na AG?

Itafute wewe hukumu, unaniuliza mimi? Kikwete kashauri "Maamuzi ya Mahakama kuu yatekelezwe kama alivyoshauri AG".

Kuna fedha zimetajwa hapo zitolewe kama ulivyoandika mwanzo?

Nini usichokielewa hapo ewe punguani?
 
Umemjubi dada lakin wacha mm kaka nikujibu kidogo.
Kulingana na uandikaje wake amesema hizo ndio karatasi zilizotolewa, sasa lakujiuliza ni kitu kipo cha kutisha ktk hizo karatasi alizotuwekea hapo? Ama ni sample?
hapo ndo hata mie nashsngaa,hamna kitu mpaka sasa.
tunataka ripot iseme hizo pesa ni za iptl ama ni za tanesco,full stop
 
bot wameeleza vizuri ila wewe umetafsiri unavyotaka
Kivipi mkuu. BOT wameeleza vyema kabisa na kwa maelezo yao mimi nakubaliana na hitimisho lao kwamba walitekeleza majukumu yao kwa weledi mkubwa. Katika hayo maelezo wameweka wazi ya kwamba mkubwa wa nchi alitoa baraka baada ya BOT kushauri kwamba viongozi wa kitaifa wajulishwe kuhusu malipo hayo. Huoni kwamba mkuu hapa anaingia?
 
Back
Top Bottom