Kijana kasema hizi ndio zilizonyofolewa, ni nini usichoielewa hapo?
Ripoti ipo, wala hilo silikatai na nnachosema mbona hii iliyowekwa hapa sioni wizi wowote? Na hii ndiyo ilisemekana imenyofolewa kwa kuwa inamambo makubwa ndani yake.
Umenizalilisha mkuu... Ila ngoja utaona nilichomaanisha. kwa hizo nondo narudia ni ngumu kumeza... sijashawishika. anyway kwa vile invisibo anaziunga mkono ngoja basi woote tukubali tu kwamba ni nooma!!
Fedha zimegawanwa na nani na kwanini kwanza AG aizinishe.Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa fedha hizo zilizogawanwa zilikwenda kuhifadhiwa Afrika Kusini na Australia. Na kwamba ili fedha zipelekwe huko ni lazima AG aidhinishe. Na hili pia una maoni gani wewe kama wewe pasina kufungamana na upande wowote?
Ukimaliza hapo jumuika na Nguruvi3 hapa chini ili mjadala uendelee:
I recon, kama mzigo wa pages zilizoibwa ni hizi zilizomwagwa hapa basi watakupa wameiba placebo! Invisible tafadhali fafanua!
umesikia habari njema za makafir 28 waliouliwa na al shabab kule kenya..allah is great kwa kweli
Kurasa zilizonyofolewa ni tatu za mwisho.kama sikosei 57,58,59.FF kuna zaidi ya kurasa hizo uzionazo, hizo ni kama zimetumika kuonesha kuwa wadau wanayo ripoti nzima...
Kurasa zenye mbivu na mbichi wala si hizo mbili bali zimetulia tuli zasubiri wakati muafaka wa kuziweka hadharani pale tu ukweli ukipindishwa...
Sijui kama umeelewa...
Ni viambatanisho mkuu wangu. Basically tunavyo, na hata hizo pages mbili nilizoweka zimenyofolewa!
Hapa ninachotaka wafahamu ni kuwa, hatutaki kuingilia utendaji wa Bunge lakini wasihangaike na sarakasi zao; moto huu hauzimiki kwa kuumwagia petroli!
Matola, umeamua kubadili mada naona. Yaleyale ya ccm na babu wa loliondo. Hutaweza mkuu, acha watu waendelee kuchakata ESCROW na si UDINI.
Kimsingi, ripoti nzima ipo na itawekwa hewani endapo michezo inayochezwa itaendelea!
Nimesikitishwa na taarifa za kuanza kunyofolewa kurasa za ripoti hii; bahati nzuri kuna watu wanayo original copy na imeshasambaa sana hivyo ni vema wahusika wakaacha wabunge waifanye kazi yao kwa kadiri inavyostahili.
Hatungependa kuingilia sana lakini tunaona kama tunalazimishwa kufanya hivyo.
DOKEZO:
Hizi chini ni baadhi ya kurasa zinazodaiwa kunyofolewa...
Kijana kasema hizi ndio zilizonyofolewa, ni nini usichoielewa hapo?
Ripoti ipo, wala hilo silikatai na nnachosema mbona hii iliyowekwa hapa sioni wizi wowote? Na hii ndiyo ilisemekana imenyofolewa kwa kuwa inamambo makubwa ndani yake.
Kwani hizi pg mbili zinatusaidia nini wakati zipo mtaani? Angeweka pg tatu za mwisho ndio tungeona anataka kutusaidia na hatumiki na hao wanaosambazaWengine tulikuwa tumeanza kupoteza imani na Jukwaa.Asante Mkuu.
Nchi hii ni zetu zote panapo uhalifu wa aina hii na wenye kuweza kusaidia kuuzuia hata kwa 0.0001% ni heri akafanya hivyo na ni dhambi kutokuchukua hatua.
Ni kweli wachaa Bunge lifanye Kazi yake wakishindwa huku nje tuendelee na mjadala iko siku kelele za wanaoitwa matumbili na wajinga zitasikika!