Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 16,307
- 33,780
Mkuu wa nchi yumo. Amepewa vyombo vyote vya dola, hana excuse ya kusema kashauriwa vibaya. Mkuu wa nchi, Rais yumo katika EscrowKivipi mkuu. BOT wameeleza vyema kabisa na kwa maelezo yao mimi nakubaliana na hitimisho lao kwamba walitekeleza majukumu yao kwa weledi mkubwa. Katika hayo maelezo wameweka wazi ya kwamba mkubwa wa nchi alitoa baraka baada ya BOT kushauri kwamba viongozi wa kitaifa wajulishwe kuhusu malipo hayo. Huoni kwamba mkuu hapa anaingia?