JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

"kilichotokea kwenye hii account kinaweza kutokea tu kwenye nchi isiyo na utawala mfano Somalia, Congo nk"
Hii kauli nadhihirisha nini kwa Tanzania!???
 
Haya hayaaa 'MOYO WANGU TULIA MJINI KUNA VYA WATU' Kuna watu wanapumulia mashine hivi sasa seriously
 
Ndigu zangu achaneni na huyo mwanamke ameisha vurugwa hua hana jipya kwa mada yoyote ile hua anatafuta mabwana tu anawashwa ------ anatakiwa kutibiwa tu sio kupigishana nane kelele
 
Ni aisee hawa watu nataka waende Segerea this time. Wameshakula hela zetu sana
.Mara Rada, Mara EPA, Richmond, makaa ya mawe kiwila. Now Escrow na wako mitaani tu. Hapana aisee tumechoka
 
Hivi hawa viongozi wanaona watanzania mazuzu kiasi hiki,kumbe hata mzee wa tezi dume ana.....
 
Hapa JF zimekuwa zikiwekwa nyaraka za siri nzito nzito sembuse hii report ambayo nasikia hata Chief Kiumbe anayo na huko Dodoma imetapakaa.

Mkuu Invisible tutendee haki kwa kuiweka humu report yote ili nasi tuone hicho kilichomo. Manake kwenye hizo page sioni kitu chenye mashiko

Hakuna aliposema msingi hupo kwenye hizo page! amezitoa ili wajue watu wanazo! tusubiri report ikisomwa ndio tujue!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom