JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Sijui page ya ngapi hii,
 

Attachments

  • 1416750060111.jpg
    1416750060111.jpg
    33.2 KB · Views: 335
mbona hata kwenye document ya bot hamna cha ajabu?
hebu magreat thinker wa jf mtuambie kipi cha ajabu kwenye hiyo doc
 
Aisee BoT naona wameruka ki'unzi'...mkuu wa kaya, mwanasheria mkuu, Waziri Mkuu....na wengine....kwa haki kabisa kabisa (vinginevyo yaletwe maelezo mengine ya utetezi) wanatiwa hatiani kwa suala hili.
 
Baada ya uamuzi huo wa Mahakama, BoT ilipokea mawasiliano mbalimbali kutoka Wizara ya Nishati na Madini (MEM) na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambao walikuwa na maoni kwamba fedha zilizopo kwenye Akaunti Maalum zitolewe baada ya masharti kadhaa kutekelezwa. Baadhi ya masharti hayo ni kama ifuatavyo: Utolewe ushahidi kwamba PAP ndiyo wamiliki wa hisa za Mechmar katika IPTL; Kufikiwa kwa muafaka wa mgogoro wa ukokotoaji wa kiwango cha Malipo ya Uwekezaji kati ya IPTL na TANESCO; Hakikisho kwamba baada ya kulipwa kwa fedha hizo, IPTL
hawatadai chochote kuhusiana na tozo zinazobishaniwa.
Page 3 of 12
 
Weka hapa alichopendekeza, wacha kuhororoja na kubwabwaja, utachekwa. Unakuja na maneno yako badala ya kunukuu kilichoandikwa? mtadanganyana misukule kwa misukule tu.

Wacha njaa, kama umeolewa ua bado basi hufai kwa lolote.
 
aisee nimeshangaa sana ndio maana maCCM yalikuwa yanataka sana kuzima hili soo la escrow kumbe yanajua kuwa Mukulu baba Riz na yeye yumo?
 
Kwa nini unapenda kutafutia wanaJF ban? Hata hivyo...kwa namna moja ama nyingine masakata haya ya Escrow na Bomba la gesi...yatakuwa yamekukwangua mahala ....na hicho kidonda kilichotokana na mkwanguo huo....hakiponi...!!!

Ukisikia kuhororoja na kubwabwaja ndio huko, hiyo ndio hoja yako ya escrow?

Punguani wahed.
 
Naona watu wanaleta ushabiki kwakujifanya wanajua kumbe mapunguani tu...

Najiuliza Kama mambo mepesi Kama wanavyodhani joto kubwa Dodoma la nini?

Nawasubiri akina Lizaboni na Chabruma nione Kama wataendelea na nyimbo zao za ufisadi
Mkuu,Heshima kwako.
 
Last edited by a moderator:
Mkutano wa MEM Tarehe 24 Septemba, 2013, Katibu Mkuu MEM aliitisha mkutano kwa ajili ya kujadili maombi ya Serikali ya kuruhusu kutolewa kwa fedha za escrow. Mkutano huu ulimshirikisha Gavana wa BoT, Katibu Mkuu Hazina (PST), Mwakilishi wa AG na wawakilishi wa TANESCO. Katika mkutano huu, BoT ilitoa hoja ambazo ilitaka zizingatiwe kabla ya kutolewa kwa ruhusa ya kutolewa kwa fedha hizo. Hoja hizo ni: (i) (ii) Ushahidi kwamba hisa za Mechmar zinamilikiwa na PAP na ushahidi kwamba umiliki huo umesajiliwa na BRELA; Ushahidi wa suluhu ya mgogoro kuhusu tozo kati ya IPTL na TANESCO na kwamba suluhu hiyo imeamuliwa kwa manufaa ya (iii) IPTL; Iwapo IPTL na GoT wako tayari kusamehe riba inayotolewa kwa dhamana za Serikali ambako fedha za ¡ùEscrow¡ì zimewekezwa, endapo uwekezaji katika dhamana hizo utakatizwa kabla ya (iv) wakati (pre-mature redemption); Nini kauli ya Wizara ya Fedha kuhusiana na uamuzi wa kutolewa kwa fedha hizi na iwapo uongozi wa Kitaifa una habari na suala (v) hili; na Iwapo GoT imejihadhari na uwezekano wa madai yanayoweza kufunguliwa na wadai mbalimbali, wakiwemo Standard Chartered Bank (Hong Kong) ambao wanasemekana kuidai IPTL. 4.1. Timu ya Wataalam
Baada ya majadiliano, iliagizwa kwamba iundwe Timu ya Wataalam ili kuzifanyia kazi hoja zilizoibuliwa na kujadiliwa, na kuwasilisha Ripoti kwa PS ÿ MEM kwa ajili ya hatua muafaka. BoT iliwakilishwa katika timu hiyo ambayo iliwasilisha Ripoti yake tarehe 30 Septemba, 2013, ikiwa
 
Wacha njaa, kama umeolewa ua bado basi hufai kwa lolote.

Ua la nini tena? ua lilibanduliwa miaka 36 iliyopita.

Mimi sijaolewa na wala sitaolewa, kumbuka hilo. Mimi nimeoana na Gozi langu.
 
Ukisikia kuhororoja na kubwabwaja ndio huko, hiyo ndio hoja yako ya escrow?

Punguani wahed.


Hivi ww una uke kweli....au bisexual..or shemales....!!!


U smell nasty from inside out, outside in, poor puru yako...!!!
 
tunataka riporti iwekwe kw style hiyo hapo juu,si kila mtu ana uwezo wa kuzoom.wekeni watu wasome waone na wajudge
 
Hivi ww una uke kweli....au bisexual..or shemales....!!!


U smell nasty from inside out, outside in, poor puru yako...!!!

Ukisikia viroja, kuhororoja na kubwabwaja ndio huko, hiyo ndio hoja yako ya escrow?

Punguani wahed.
 
Back
Top Bottom