RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,758
niwakati muafaka wa kuisoma na kuielewa ripoti nzima ili tutoe hukumu stahiki kwa kila mhusika... Rais ana vyanzo vingi sana vya kuthibitisha uhalisia wa jambo! something is wrong kwenye taasisi ya urais... namhurumia rais wangu, nawahurumia sana watanzania makabwela... Mkombozi Bank imulikwe kwa undani zaidi...