Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,548
- 2,180
Weka hizo kurasa 57,58 ns 59 zenye majina.
Aweke? Kwani anazo?
Weka hizo kurasa 57,58 ns 59 zenye majina.
Tafadhari tunaomba haraka hiyo report iwekwe hapa tena ikiwa imekamilika. Mitaani tayari report ipo tena ikiwa imenyofolewa kurasa muhimu, sasa JF tunangoja nini?
Weka mzigo hapa critical thinker tuijadili, mbichi na mbivu zifahamike.
Dah...jama wamekosea sana, hawajajua bado kuwa siku hizi akina 'The book of Eli' wapo kibao.
Waliweza kumzima Invisible kwenye ile issue ya 'The General and the trillions' nadhani alikubali kuzimika si kwa vitisho, bali kwa aliyoonyeshwa ambayo kiumbe yeyote angekua mdogo tu. Ila kwa hili sidhani.
Aweke? Kwani anazo?
ni kupotezeana muda. Yaani report imewasilishwa kwa spika, spika amewapa kamati, wajumbe wameipitia na kuandika report watakayoiwakilisha halafu mnasema report itachakachuliwa? Hiyo inawezeje kutokea? Na hizo pg mbili wamenyofoa kutoka wapi na invinsible nani amemwambia?Point ya mtoa mada ni kuwafaamisha wahusika kuwa endapo ripoti ya kuwasilishwa bungeni itakuwa imechakachuliwa, wafahamu kuwa 'original copy' tayari ipo mikononi mwa watu. Pamoja na kwamba hizo page mbili hapo juu zipo mtaani tayari, lakini zinatoka kwenye 'original report', sio iliyochakachuliwa. Kwa hiyo kama itawasilishwa bungeni iliyochakachuliwa, ndipo mzigo original utakapowekwa hewani. Kwa sasa bunge liachwe lifanye kazi yake.
Tena kama yule aliempa mtu mchango wa harusi karibia milion 400,haha
kazi ya jeshi ni nini endapo wizi mkubwa unafanyika na hata wananchi kukosa huduma mihumu....?
kwanini JWTZ Wasitangaze kuchukua nchi au hadi vita itokee?
m!mmh come again! did I missed something??
Wizi wote huu una baraka za ...aaaand is that you FF??
juzi juzi mlikuwa mnatuhumu jeshi na wanajeshi kuhusu meremeta, leo imekuwaje tena, au ndio kumbukumbu fupi?
kama hizi ndo kurasa muhimu basi hizo zingine zilizobaki zitakuwa porojo
Sasa kama yana baraka za Rais kinamshinda nini kufanya maamuzi magumu mara moja tukamaliza hii sintofaham? Kwa hiyo unataka tuamini huko USA kaenda ili awaache walio chini yake (watoto) waparurane utadhani hakuna baba mwenye nyumba?
Hahahahaha ndo mnayoweza kufanya! Mfowadie invizibo aapudeti makabrasha yake hahahahaha asije vuruga mwenendo wa PAC sijui hahahahaha jidanganyeni tu ila report hakuna mtu anaweza kuwa nayo hata CAG mwenyewe hana! Vijana wa kijitonyama ni Nouma! Cag kaandaa ila hana hata copy ndo utazijua kura za maruhani na chinise technology yaani ukipiga ndio kwa Slaa inahamia kwa baba mwanahawa au Vasco DA gama
Ukiona mambo kama haya yanatokea ujuwe yana baraka zote za Rais.
Tanzania unaijuwa lakini au unaisikia tu?
Umesahau Nyerere aliposema yeye ni dikteta na katiba ndiyo inayompa udikteta? unafikiri sasa hivi inatumika katiba ipi? si hiyo hiyo? Rais ana uwezo wa chochote Tanzania hii kwa katiba tuliyonayo, kaa ukijuwa hilo.