JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Kwa tulichopewa tunaweza kufikir katika mstari huo

Vinginevyo tusubiri ripoti kamili
 
Jf noma wakiifungia niko tayari kula sahani moja na atakaye ifungia 'personal!'
 
Kijana, kasema hizi ndio zilizonyofolewa, ni nini usichokielewa hapo?

Ripoti ipo, wala hilo silikatai, ila nnachosema mbona hii iliyowekwa hapa sioni wizi wowote? Na hii ndiyo ilisemekana imenyofolewa kwa kuwa ina mambo makubwa ndani yake?

Hapo hata Invisible mwenyewe amekosea kurasa zilizonyofolewa kwa mujibu wa taarifa ya jana ni ukurasa wa 57,58,na 59 sasa yeye ameleta nyingine kabisa,ndo maana ktk hizo hakuna kitu cha maana na yeye amesema tuliache kwanza bunge lifanye kazi yake ila kama wataendelea na mchezo wao mchafu atamwaga ripoti yote.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe na wewe ni al shabaab lazima ushughulikiwe kuanzia sasa

hapana bosi ila faiza foxy huwa hapendi makafir na anaamini ndo wanasababaisha Rais mepndwa wa sasa hivi aonekane dhaifu maana ni muislamu
 
mkuu, mh Invisible hebu tupia hayo makaratasi ili wahusika walioyanyofoa waumbuke. usisubiri uchakachuaji ufanyike kwanza ndipo uyatupie. understand?
 
Last edited by a moderator:
You Kori Bastard...!!!

Invisible brought here only pages 14 of 59 & 24 of 59....!!! of which those are NOT LAST 3 PAGES....

Meaning, the last 3 pages are 57, 58 & 59.....!!!!

Invissible kasema wazi.., hata hizo pages 14 & 24 hazipo....!!!!

Ila HOT last 3 PAGES ZENYE C.A.G NAMES za mafisadi na maamuzi ya CAG ndio MOSTLY NEEDED...

So acha kutumika kinyume na maumbile

Nimeelewa sana tena sana, nisome vizuri; ikiwa hizo ndio "zilizonyofolewa" na hazina chochote cha maana itakuwa hizo zilizosambazwa?

Fikiri.
 
Nimekuelewa Mkuu...! Lkn tukumbuke hawa watu Wana nguvu sn ya kifedha kiasi wanaweza kuwapa fedha Ma mods ata Hizi thread za hili skendo zikawa zinafutwa tu..!

Tena kama yule aliempa mtu mchango wa harusi karibia milion 400,haha
 
Wakuu mbona pesa zilizoibwa ni nyingi .321 alafu majina na kiasi kilichogawiaa ni kidogo.? Pesa nyingine akina nani wame chukua. Maenye majina atupe tafadhali
 
I smell something fishy.. hata invisible page unazotoa sioni uzito wake. zaidi zaidi jina la ex-cdf... mengi ni kama justification inayoweza kucontradict na yale tuliyokwisha lishwa humu jf na kuyaamini. kwa sisi wananchi wa kawaida lugha tunayoielewa ni je pesa ya kodi zetu imeliwa kifisadi? yes... na nani? shi ngapi? tafuta hizo page ndo tunazitaka man. kama hamna page za hivyo naona hata hiyo ripoti haina maana..

Perfect!
 
You Kori Bastard...!!!

Invisible brought here only pages 14 of 59 & 24 of 59....!!! of which those are NOT LAST 3 PAGES....

Meaning, the last 3 pages are 57, 58 & 59.....!!!!

Invissible kasema wazi.., hata hizo pages 14 & 24 hazipo....!!!!

Ila HOT last 3 PAGES ZENYE C.A.G NAMES za mafisadi na maamuzi ya CAG ndio MOSTLY NEEDED...

So acha kutumika kinyume na maumbile

mkuu pilot, leave alone that twit by the name FaizaFoxy; it is a waste of time and energy to teach such a chicken-headed lady a lesson she's not willing to understand. her head has go not brain but it's full of maggots.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mbona pesa zilizoibwa ni nyingi .321 alafu majina na kiasi kilichogawiaa ni kidogo.? Pesa nyingine akina nani wame chukua. Maenye majina atupe tafadhali

Unaijuwa PAP? huko ndiko majina ya familia ya Mkulu yapo.

Tuliza bori wengine tumeshajitolea kufikiri kwa niaba ya wengine.
 
Invisible mwaga ripoti nzima watu waipitie na kuwashauri wabunge walio wavivu kusoma angalau wajue cha kuchangia.
 
Last edited by a moderator:
CCM kwa nini msisitutie 10m kila member humu ili tutulie.Invisible mkampa ka escrow ka 1b akafuta nyuzi.haaah,haaah natania tu Mjomba
 
Invisible mwaga ripoti nzima watu waipitie na kuwashauri wabunge walio wavivu kusoma angalau wajue cha kuchangia.

Invisible naye ni kati ya wananchi wa Dodoma waliopatiwa Nakala ya Ripoti??..

Tulieni Bunge lifanye kazi yake.
 
Last edited by a moderator:
You Kori Bastard...!!!

Invisible brought here only pages 14 of 59 & 24 of 59....!!! of which those are NOT LAST 3 PAGES....

Meaning, the last 3 pages are 57, 58 & 59.....!!!!

Invissible kasema wazi.., hata hizo pages 14 & 24 hazipo....!!!!

Ila HOT last 3 PAGES ZENYE C.A.G NAMES za mafisadi na maamuzi ya CAG ndio MOSTLY NEEDED...

So acha kutumika kinyume na maumbile

Mkuu Invisible
Please!
Please!
Please!

Weka hapa hii kitu hasa hizo kurasa za mwisho mkuu wangu zinatosha tu!
Remmember at JF "WHERE WE DARE TO TALK OPENLY"

Kigugumizi cha nini Mkuu wetu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom