kintu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 542
- 136
Hawa jamaa "wajanja" wamepima upepo kiwango cha original report kusambaa......hiyo kunyofoa ni ili wenye original wasimame sasa wajulikane ni "wafunge kazi" ......ila kauli ya Invisible kuwa ipo "mawinguni" maana yake kwa muda uliosalia "wameshafeli"
Ipo mawinguni lakini mwenye access na nayo ni huyo mtu , watamdhibiti kwanjia yoyote ile iwe mabwepande, mwakyembe au kumkibanda, akifanikiwa kupona basi itakuwa kipindi cha uchaguzi 2015.Cha msingi ni invisible kuiweka yote hapa watu tupate copy.
Last edited by a moderator: