JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Wala usisubiri, rejea kule haraka! Tena yanukuu haya ninayoyasema vema.
Jambo zuri ni kuwa JFinatunza kumbu kumbu.

Hebu tuutende huu uzi haki, na ule upewe haki yake

Tusikimbiane mimi nitakukumbusha ukisahau otherwise unikumbushe wewe nikisahau.
 
Nilivyoelewa jamaa iptl chao jumla ni usd 79 m ktk hela za escrow na hio 79 watoe zetu kodi kwa tra

Katika hio 79 kuna 45. Cent cent capacity charge na 33. Centi cent za faini plus riba

Tanesco wakaomba wasamehewe hio 33 ...iptl wakasema hewala lau na nyie mtusamehe kodi

Sasa kama stahili yao iptl ni usd 79 (humo kupa kod yetu pia) je kwa nini walipwe mpunga wote wa godauni la escrow tegeta

Ukurasa wa 24 para ya tano na ya sita
 
Na wewe unakuwa mtu wa kuingizwa mkenge kirahisi.utajuaje ripoti imechomolewa kabla ya kusomwa?je ikisomwa yote si utajishushia hadhi?ungeacha wanyofoe halafu umwage ndio ungeonekana shujaa
Sasa hata akiwasilisha wakati imesomwa itasaidia nini, Huoni kuwa tutakua tumechelewa.

Barua ya mahakama kuzuia mjadala wa Escrow bila kelele za wabunge na wadau mbalimbali ingekua ilishafika bungeni.

Tunapambana na watu hatari sana wanaoijua nchi hii kuliko wananchi wenyewe.
 
wapi kasema ndio zenye mambo makubwa zaidi ya nyingine?? unatetea yet another capital mistake, done on great misculcations ...ili watu wajue unyofoaji na usambazaji wa hiyo ripoti Dodoma is just a hoax , Mengi hawezi Ku commit TV take kutangaza uwongo just for the sake of revenge. Yeye ni kiongozi wa jukwaa LA maadili ya utangazaji can't do such stupid thing. So ripoti kama walionyofoa na kusambaza baadae wakagundua wamekosea they Have great harm than good. usipoteze muda wako kutuambia uvumi was mitaani.
Address ya picha za document zilizowekwa hapa inajieleza wazi ,THE MISSING PAGE.JPG.
Na wamesema hizo missing page ama kwa lugha utakayoelewa KURASA ZILIZONYOVYOLEWA ndo zenye kuonyesha wizi,sasa mbona hatuoni?
 
quote_icon.png
By lusungo

Soma vizuri ikibidi urudie huku umetuliza akili kuanzia hapo kwenye tahadhari ya TANESCO.... makubaliano Kati ya IPTL na TANESCO juu ya kiasi gani kilipwe halafu tafuta kiasi kilicholipwa baada ya makubaliano hayo then tafuta Kama kodi halali ililipwa.....

Inahitaji fikra ya juu kuelewa kilichomo humo Kama ndo mwenzangu na mie Wa nyimbo za kitorondo utaambulia patupu.....

Usione watu wazima wapo busy mpaka wanakosa usingizi ukadhani ni mambo mepesi....

sina la kuongezea!!!

Kwanini nitafute nje ya ripoti? weka ripoti hapa tuone, kama hauna inabidi usubiri Zitto aiwakilishe rasmi bungeni.

Tunajadili kilichokuwepo mbele yetu si cha kuanza kukitafuta, kama wewe unacho weka hapa tukijadili.

Ya nini tuandikie mate na wino upo?
 
Hercule Poirot, on post #384 , you are making a strong point. Na sasa naelewa kwa nini Zitto alisema wabunge wajiandae kujadili facts badala ya watu. Hii ripoti ya CAG inaonekana haijatuhumu watu bali imeeleza facts ambazo zitapelekea baadhi ya watu kutiwa hatiani. You just mentioned a classic example.
 
Kwani hizi pg mbili zinatusaidia nini wakati zipo mtaani? Angeweka pg tatu za mwisho ndio tungeona anataka kutusaidia na hatumiki na hao wanaosambaza

Swala ni kwamba hizo page mbili zisomwe zote bungeni,

na kama Huoni chochote kwenye hizo page mbili hata ukipewa tatu za mwisho au ripoti nzima hutaelewa chochote.!
 
Invisible still waiting for the whole report tupatie iki tufuatilie mjadala kwa ukaribu zaidi.
 
Nilivyoelewa jamaa iptl chao jumla ni usd 79 m ktk hela za escrow na hio 79 watoe zetu kodi kwa tra

Katika hio 79 kuna 45. Cent cent capacity charge na 33. Centi cent za faini plus riba

Tanesco wakaomba wasamehewe hio 33 ...iptl wakasema hewala lau na nyie mtusamehe kodi

Sasa kama stahili yao iptl ni usd 79 (humo kupa kod yetu pia) je kwa nini walipwe mpunga wote wa godauni la escrow tegeta
Hapa cha kujiuliza hizo 79 zilikuwa za kulipia tangu lini hadi lini na wamelipwa za tangu ngapi na za tangu lini mpaka lini na je hawajalipwa za tangu lini mpaka leo.
 
Fedha zimegawanwa na nani na kwanini kwanza AG aizinishe.

Mafisadi wote waliopinga na wanaopinga taarifa rasmi na sahihi kutoka kwa wawakilishi wa wananchi wenye moyo wa uzalendo

Na kwa nini AG aling'aka na kuhamaki kwa jaziba hadi kufika mbali na kumwita mwakilishi wa wananchi mnyama?
kuidhinisha ni sheria ya nchi or else ni money laundering!

Hercule Poirot, on post #384 , you are making a strong point. Na sasa naelewa kwa nini Zitto alisema wabunge wajiandae kujadili facts badala ya watu. Hii ripoti ya CAG inaonekana haijatuhumu watu bali imeeleza facts ambazo zitapelekea baadhi ya watu kutiwa hatiani. You just mentioned a classic example.
Na ndo tunataka wabunge wakajadili figure,mahesabu sio,''ooh mkono amenituma nikamlipue maswi au mhongo''.
hatutawaelewa figure ndo zitahukumu hii ishu.
 
wapi kasema ndio zenye mambo makubwa zaidi ya nyingine?? unatetea yet another capital mistake, done on great misculcations ...ili watu wajue unyofoaji na usambazaji wa hiyo ripoti Dodoma is just a hoax , Mengi hawezi Ku commit TV take kutangaza uwongo just for the sake of revenge. Yeye ni kiongozi wa jukwaa LA maadili ya utangazaji can't do such stupid thing. So ripoti kama walionyofoa na kusambaza baadae wakagundua wamekosea they Have great harm than good. usipoteze muda wako kutuambia uvumi was mitaani.

Soma vizuri, "ilisemekana". Aliyoyasema nimeonesha para ya kwanza, hujui jana humu humu JF kilisemekana nini? pitia nyuzi.

Wacha kubishana kitoto, hizo pages zilizowekwa hapo hazina implication yoyote, sasa wewe kama unazo zenye implication yoyote ile, weka hapa, wacha porojo.
 
Elungata@
Kikao cha makubaliano ya 79 usd kilikuwa oktoba8, 2013

Oktoba 9 bodi tanesco ikawaandikia barua katibu mkuu nishati

Wakishauri oktoba 21 iptl walipwe 79 zao...

Tukumbuke ni mwishoni mwa mwaka jana iptl walipewa pesa za escrow
 
Mafisadi wote waliopinga na wanaopinga taarifa rasmi na sahihi kutoka kwa wawakilishi wa wananchi wenye moyo wa uzalendo

Na kwa nini AG aling'aka na kuhamaki kwa jaziba hadi kufika mbali na kumwita mwakilishi wa wananchi mnyama?

Werema kumwita kafulila tumbili hiyo sio ishu ya kitaifa.ishu ni je kuna wizi,nani kaiba na kaiba vipi then awajibike.
 
FF kuna zaidi ya kurasa hizo uzionazo, hizo ni kama zimetumika kuonesha kuwa wadau wanayo ripoti nzima...

Kurasa zenye mbivu na mbichi wala si hizo mbili bali zimetulia tuli zasubiri wakati muafaka wa kuziweka hadharani pale tu ukweli ukipindishwa...

Sijui kama umeelewa...

Nimeelewa sana tena sana, nisome vizuri; ikiwa hizo ndio "zilizonyofolewa" na hazina chochote cha maana itakuwa hizo zilizosambazwa?

Fikiri.
 
Back
Top Bottom