JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Very true.....100%....tht is it..!!!

1: Pinder

2: Tibaijuka

3: Muhongo

4: Masele

5: Singa singa

6: Werema

7: Maswi..

8: TRA mkurugenzi who received ESCROW monies

9: Saada Mkuya, sbb her ministry imetoa pesa...!!!

10: Mkurugenzi wa Tanesco, Felschemi


11: Tanesco body Chairman, retired General Mboma.


12: Majaji ya 3....wa Mahakama Kuu....


13: Maofisa wengine wote wa serikali waliohusika,
totalling the list of MAFISADI to 52....


HITIMISHO.....wakiwajibika, PCCB na POLISI wawasubiri at the door steps na kuwasweka rumande, then tutaanza kuongea mambo ya maana....!!!!

mkuu Hossam, mbona orodha ya wezi ipo wazi au huifahamu? wezi ni hawa hapa:

1. Werema
2. Pinder
3. Muhongo
4. Maswi
5. Masele
6. Tibaijuka
7. Mkurugenzi wa TRA
8. Singersinger.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni muongo sana,sehemu ya report ilionyofolewa ni ya majina ya watu walio pewa mgawo

wananchi msidanganyike,kama una report kamili iweke hapa tuione
 
mkuu Hossam, mbona orodha ya wezi ipo wazi au huifahamu? wezi ni hawa hapa:

1. Werema
2. Pinder
3. Muhongo
4. Maswi
5. Masele
6. Tibaijuka
7. Mkurugenzi wa TRA
8. Singersinger.

Sawa kabisa mkuu! Ila ninachoomba ni kuwa huyu invizibo aweke page mmoja tu inayowaonyesha hawa wajasiriamali! Tatizo ni nini? Mbona hata mie naweza kama wewe, ona wezi sasa ni hawa,

1. Mbowe
2. Zitto
3. Serukamba
4. Ole Naiko
5. Masele kwa niaba ya Riz
6. Members
7. Madelu
8. Waziri wa hela

Nimemaliza

Source: Jason Boni wediplesi
 
Last edited by a moderator:
Ndugu watanzania ,mwenye report ya CAG ambayo kurasa 3 zilizo nyofolewa tunaomba waziweke hapa,

Kwani mambo yameshakuwa WAZI ,hakuna cha kuficha.
 
subiri tu......itaisha next week!

Tunasubiri, tukiwa hai ukweli utajulikana, lakini nionavyo nguvu inayotumika mitandaoni kuuaminisha uongo ni imesha flop na haina mshiko.

Ngoma ikivuma sana hupasuka.
 
Kwani hizi pg mbili zinatusaidia nini wakati zipo mtaani? Angeweka pg tatu za mwisho ndio tungeona anataka kutusaidia na hatumiki na hao wanaosambaza

Point ya mtoa mada ni kuwafaamisha wahusika kuwa endapo ripoti ya kuwasilishwa bungeni itakuwa imechakachuliwa, wafahamu kuwa 'original copy' tayari ipo mikononi mwa watu. Pamoja na kwamba hizo page mbili hapo juu zipo mtaani tayari, lakini zinatoka kwenye 'original report', sio iliyochakachuliwa. Kwa hiyo kama itawasilishwa bungeni iliyochakachuliwa, ndipo mzigo original utakapowekwa hewani. Kwa sasa bunge liachwe lifanye kazi yake.
 
Kama wewe ni mgeni hapa JF huwezi elewa nilichoandika na niliyemlenga.

Jifunze how to read between the line taratibu tu na wewe utaelewa.

Mimi ni mkristo tena mkatoliki kama ulikuwa hujui.

Nami pia mgeni kidogo humu JF, ila nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa topix humu. Kwenye comment yako nilikuelewa vizuri kabisa. Nafikiri huyu ndugu naye atakuelewa baada ya muda.
 
Na wewe unakuwa mtu wa kuingizwa mkenge kirahisi.utajuaje ripoti imechomolewa kabla ya kusomwa?je ikisomwa yote si utajishushia hadhi?ungeacha wanyofoe halafu umwage ndio ungeonekana shujaa

Kwa nini asubiri mpaka uhuni ufanyike ndio atoe? Alichokifanya Invisible ni kuwatahadharisha na huo mchezo mchafu wanaotaka kuucheza,BTW hivi isingekuwa watu kuwa pro active kwenye barua ya mahakama kutaka kuzuia mjadala unadhani sasa hivi tungekuwa tupo hapa tunajadili hata hii report?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom