Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,626
asante dadaMmmh! Pole Dada!
asante dadaMmmh! Pole Dada!
Hapo ndipo unapopotea njia. Huo ujauzito alio nao ulimpa wewe baba yake? Hebu muulize vizuri
Nitazamia
Waje with au without hommie?
Hah hah hah hah!! Mzee wa ACHEM!
What? Nadhani hapa DNA zinahusika sanaHapo ndipo unapopotea njia. Huo ujauzito alio nao ulimpa wewe baba yake? Hebu muulize vizuri
Yani hata mmi nimechoka..Ana wake wanne na mimi eti niwe wa tano? akuuu..nimekataa..SIDANGANYIKI!!Mwanangu Zion Daughter unaona majibu ya hili lizee Asprin? Ujana wake sijui limeumalizia wapi sasa linataka kuja kufia kwako? Piga chini faster likafie mbele. Mjukuu nitamlea mwenyewe, alaaaa...
Usipokuja leo utaniudhi
daaah siamini kama nimekosa
Kwa walioenda Jumuia leo wamesoma Injili ya Luka 4:14 na kuendelea.
...Watu wote waliokuwemo kwenye Sinagogi wakamkazia macho, akawaambia "Maandiko haya leo yametimia masikioni mwenu"...
Nachukua nafasi hii pia kusema Ahadi na mpango uliosimamiwa na Madame B LEO HII UMETIMIA MACHONI PETU.
Hongera sana kwenu nyote mlioshiriki kuwezesha jambo hili.
Ni matumaini yangu kuwa kila tukio la ratiba litaenda kwa jinsi lilivyopangwa, na shughuli nzima ya urafiki itakuwa njema sana.
Kila la heri wapendwa, sisi wa A-town tuna wawakilishi wetu wawili hapo, hivyo tuko pamoja.
Hakika hili ni jambo jema, Pale Jumuiya inapokuwa mbele ya Konyagi. Kweli tukeshe tukiomba maana Yesu yu karibu kurudi.Kwa walioenda Jumuia leo wamesoma Injili ya Luka 4:14 na kuendelea.
...Watu wote waliokuwemo kwenye Sinagogi wakamkazia macho, akawaambia "Maandiko haya leo yametimia masikioni mwenu"...
Nachukua nafasi hii pia kusema Ahadi na mpango uliosimamiwa na Madame B LEO HII UMETIMIA MACHONI PETU.
Hongera sana kwenu nyote mlioshiriki kuwezesha jambo hili.
Ni matumaini yangu kuwa kila tukio la ratiba litaenda kwa jinsi lilivyopangwa, na shughuli nzima ya urafiki itakuwa njema sana.
Kila la heri wapendwa, sisi wa A-town tuna wawakilishi wetu wawili hapo, hivyo tuko pamoja.
Nadhani Filipo hajaipitia hii thread, na naamini kabisa kuwa marejesho ni mtu wa kutimiza ahadi zake.Okei......kama tumewakilishwa sawa kabisa.....nilipata wasiwasi ......