JF Dar-Wing, White Party-TIMETABLE

JF Dar-Wing, White Party-TIMETABLE

Shem Madame B, muongozo kwenye hiyo habari ya ID kutumwa kwa PM...
Halahalaa si unajua siku hizi huku CC kuna BAN sasa wengine tusijelambwa BAN kabla hatujapata namba ya kuingilia ukumbini...togwa litakua lishaingia nzi ujue!!!
 
Last edited by a moderator:
Ooooh!...hiyo imetulia ile mbaya!
Naombeni mi mchango wangu uwe ni kuwagawia kila mtu hayo mavazi. Ninayo ya kutosha hapa!!
Kaizer naimagine ukiwa ndani ya green n yellow utavyotoka...lol

yap sare yangu itaendana pia na mgawo wa Balimi Lager....ila nitaomba ziwe mtindo wa kombati
 
he! B umekufa na kufufuka au? bht
Ningali kuzimu B! Niulizie kwa ZD kama alinilipia kiingilio...
Niko natafuta skini taiti nyeupe
 
Last edited by a moderator:
yap sare yangu itaendana pia na mgawo wa Balimi Lager....ila nitaomba ziwe mtindo wa kombati
Ooops!! Balimi huku kwetu ni bidhaa adimu!! nitakupatia kitu cha green; heinken, whindhook, ndovu, castle na tusker light!!

Green is always da best!!
 
Ooooh!...hiyo imetulia ile mbaya!
Naombeni mi mchango wangu uwe ni kuwagawia kila mtu hayo mavazi. Ninayo ya kutosha hapa!!
Kaizer naimagine ukiwa ndani ya green n yellow utavyotoka...lol

We Rejao wewe. Ole wako uje na hiyo minguo yako ya kifisadi nitakufukuzaje!?
Leo ni mwendo wa kombati nyeupe tu kwa kwenda mbele!
 
Last edited by a moderator:
We Rejao wewe. Ole wako uje na hiyo minguo yako ya kifisadi nitakufukuzaje!?
Leo ni mwendo wa kombati nyeupe tu kwa kwenda mbele!

Mwita Maranya, we pigilia kitu cheupe na mimi nipigile cha kijani tuone nan atatoka bomba!! Leo lazima nikutamanishe, utaipenda tu green!!
 
Last edited by a moderator:
Ooooh!...hiyo imetulia ile mbaya!
Naombeni mi mchango wangu uwe ni kuwagawia kila mtu hayo mavazi. Ninayo ya kutosha hapa!!
Kaizer naimagine ukiwa ndani ya green n yellow utavyotoka...lol

Ndo umetoka Lumumba kuyachukua matambara?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom