Muhudumu leo nipo safi, kuna kinywaji ukiniagiza tu ntajua wewe ndio ODM
Sijaona jina lako kwenye listi ya wateule wa CC. Hivyo leo sitaagiza Guinness ili kumshinda shetani.Muhudumu leo nipo safi, kuna kinywaji ukiniagiza tu ntajua wewe ndio ODM
Wahudumu hatuna ID . Kazi tuliopewa ni kuwahudumia nyie leo! Tumeambiwa kua mtu asikaukiwe na kinywaji! Hapa saa hii nipo na wahusika wakuu wantupa maelekezo ! Karibu sana ODMSijaona jina lako kwenye listi ya wateule wa CC. Hivyo leo sitaagiza Guinness ili kumshinda shetani.
Asprin likes this.Wahudumu hatuna ID . Kazi tuliopewa ni kuwahudumia nyie leo! Tumeambiwa kua mtu asikaukiwe na kinywaji! Hapa saa hii nipo na wahusika wakuu wantupa maelekezo ! Karibu sana ODM
Ahsante ODM. Mpaka sasa zaidi ya wahusika wakuu bado wageni hawajaanza kufika, may be vazi jeupe raha yake gizaAsprin likes this.
Aaah kumbe kiongozi haupo leo? Nilijua we ni kati ya wale 5 wasioandika majina. Hapa naona mambo yaanaanza kwenda sawa nimeshaweka vinywaji vyote sawa
Wahudumu hatuna ID . Kazi tuliopewa ni kuwahudumia nyie leo! Tumeambiwa kua mtu asikaukiwe na kinywaji! Hapa saa hii nipo na wahusika wakuu wantupa maelekezo ! Karibu sana ODM
Utatuharibia biashara mkuuNinajiandaa kutoa tamko kali zidi ya CC
Hakika hili ni jambo jema, Pale Jumuiya inapokuwa mbele ya Konyagi. Kweli tukeshe tukiomba maana Yesu yu karibu kurudi.
Ahimidiwe Bwana Mungu wa Majeshi.