JF Dar-Wing, White Party-TIMETABLE

JF Dar-Wing, White Party-TIMETABLE

amu kabisa aingie ukumbini saa 11 jua lote la dar hili loooo ngoma mda wa mnuso hapo ndo naingia
 
Last edited by a moderator:
Nitakuja na Mgambo wa jiji kuvuruga huu mkusanyiko. Taifa liko tete na gas ya mtwara watu wengine wanapart....ama CC ni jobless corner
 
Mwalimu wangu Madame B kitendawili! (itikia)

Asante kwa ratiba murua kabisa....kuna watu waongeaji saaana apo itabidi tuwape muda mfupi wasije wakahack the whole show
Rejao hata ukihack iyo pua yako inakutambulisha, ni sawa na mimi niende pale nianza kuagiza fanta....hahahahaha
 
NA hiyo inasababishwa na hao hao watawala wetu bado kidogo wana CC wataandamana kuda 'mali asili' zao zibaki humu, manake nimeona watu wa siasa wamefanya hapa ndo 'pa kupumzikia'......lol upo arifu hebu tureconnect fasta Masanilo, #reconnection
 
Last edited by a moderator:
Nawatamani sana.......hope Chugga Wing tuna mwakilishi........niwatakie bata njema.....

Preta.....CEO..Bata System....
 
amu kabisa aingie ukumbini saa 11 jua lote la dar hili loooo ngoma mda wa mnuso hapo ndo naingia

Mweeeeee....::saa hiyo umetupia zako kitu cha Mac.....ikifika saa 2 kimeyoyoma......wahi bana......si utakiweka kwenye pochi unakuwa una repea repea tu.......
 
Last edited by a moderator:
Yaani wakati nahudumia ntawajua watu kwa kinywaji anachoomba! Nikikuletea nakusalima mfano Madame B karibu lol
 
Last edited by a moderator:
Mweeeeee....::saa hiyo umetupia zako kitu cha Mac.....ikifika saa 2 kimeyoyoma......wahi bana......si utakiweka kwenye pochi unakuwa una repea repea tu.......
Khe khe khe mi ntakua nahudumia huku nifuatilia kila linarojiri.
 
Mwalimu wangu Madame B kitendawili! (itikia)

Asante kwa ratiba murua kabisa....kuna watu waongeaji saaana apo itabidi tuwape muda mfupi wasije wakahack the whole show
Rejao hata ukihack iyo pua yako inakutambulisha, ni sawa na mimi niende pale nianza kuagiza fanta....hahahahaha
Hahahah...lazima niwe ndani nyumba!! Nikishtukiwa nikiwa ndani haina mbaya, chamuhimu nipate access ya kuingia.

Hebu nimegee dress code, nisije nikaumbuka humo!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahah...lazima niwe ndani nyumba!! Nikishtukiwa nikiwa ndani haina mbaya, chamuhimu nipate access ya kuingia.

Hebu nimegee dress code, nisije nikaumbuka humo!!
Kuna ka cello kadogo tumetenga kwa ajili ya watu kama nyie
 
Hamjambo bandugu wote...nawasalimu katika jina la White Party!!!
 
Hahahah...lazima niwe ndani nyumba!! Nikishtukiwa nikiwa ndani haina mbaya, chamuhimu nipate access ya kuingia.

Hebu nimegee dress code, nisije nikaumbuka humo!!

Kijani, njano na nyeusi, kofia ya njano yenye jembe na nyundo lol #whitepartdresscode

hahahahaha
 
Back
Top Bottom