JF-Dar Wing.........Soma Hapa......Muda Unayoyoma!!!!!!!

Madame B

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
31,838
Reaction score
37,523
Habari zenu Madada na Makaka wa JF Dar-Wing......
kama tulivyokwisha ongea na Maxence Melo Kuhusu Kuiboresha Dar-wing yetu siku ile kule Kwenye White Party, Nadhani utekelezaji wake ndio Kipindi hiki.
kila mtu alisikia na tulikubaliana wote kufikia yale Malengo tuliyojiwekea.

Ila mpaka sasa tuko kimya wapendwa, nini tatizo?
CC: Mtambuzi, KakaKiiza, watu8, Vin Diesel, Ruttashobolwa, kipaji halisi, figganigga, noahism, Bujibuji, bacha Jiwe Linaloishi Mwita Maranya, Asprin, Chachu Ombara, Mjeda, amu, Remmy, Zion Daughter, Paloma, gfsonwin, Jesca, lara 1, mwaJ, cacico, Mamndenyi, snowhite, ..........................

Ina Maana Wanaume Dar-Wing mmetuzidi sisi wanawake...........Haiwezekani!!!!!!

Karibuni Kwa Maoni ama Mapendekezo :amen::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::amen:
CC: Da AshaDii na Wengineoooooo

B1102_PeaceAndLoveForAll.png
club49273633993248316396835.jpg
 
mdogo wangu, kwanza kabisa nakupongeza kwa bandiko hili kwani umenijulisha kwa kioo kwamba kuna jambo mlijadili siku ya wp. sasa anza kwanza kuniambia yatokanayo na WP mlikubaliana nini kifanyike. pili kutokuwepo kwangu kwenye P haina maana kwamba uenyekiti wangu wa jf Dar wing mmeninyang'anya so kabla ya kupost jambo lolote mm mwenyekiti nilipaswa kujua cc Mtambuzi, Asprin na wee mwenyewe kwa utekelezaji.
 
Last edited by a moderator:

Dada Mkali wewe........Duh!!!!!!!
 
Madame B mzima weye.
Nidadafulie ni yepi yaliongelewa,
ile siku nilikaa nje hivyo sikuingia ukumbini,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
but next time Mungu akipenda i should attend,
I am sure nitakuwa niko poa wakati huo.
 
Last edited by a moderator:
mdogo wangu, kwanza kabisa nakupongeza kwa bandiko hili kwani umenijulisha kwa kioo kwamba kuna jambo mlijadili siku ya wp. sasa anza kwanza kuniambia yatokanayo na WP mlikubaliana nini kifanyike. pili kutokuwepo kwangu kwenye P haina maana kwamba uenyekiti wangu wa jf Dar wing mmeninyang'anya so kabla ya kupost jambo lolote mm mwenyekiti nilipaswa kujua cc Mtambuzi, Asprin na wee mwenyewe kwa utekelezaji.
Umekuja vizuri ukaharibu mwisho kumtaja Bazazi Asprin au nasema uongo Kaizer??je mkulu Superman hii imekaaje je alitakiwa kuwekwa kwenye bango wakati kaja shughuli wanaanua matanga??Mhmmm labda in another way not only for the white party!!mzee wa ODM kajaje hapa wakulu nisaidie! Madame B weka neno!je anahusika huyu kiumbe??
 
Madame B hii kitu inabidi tuweke mikakati ya kuinvitiana kwa kuweka bango na baada ya bango tunachagua venue watakao kuwa interested wata Pm then tunakutana tunajadili au wewe unaonaje na crew nzima mnasemaje?/
 
Last edited by a moderator:
Umekuja vizuri ukaharibu mwisho kumtaja Bazazi Asprin au nasema uongo Kaizer??je mkulu Superman hii imekaaje je alitakiwa kuwekwa kwenye bango wakati kaja shughuli wanaanua matanga??Mhmmm labda in another way not only for the white party!!mzee wa ODM kajaje hapa wakulu nisaidie! Madame B weka neno!je anahusika huyu kiumbe??

Kweli huyu kiumbe ODM ni hatari kwa wake za watu.
KakaKiiza, asikudanganye...
Ana paka wake huyo,Akilia nyau....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom