AshaDii dada mkubwa mie najitoa basi miongoni mwa majaji ili kuheshimu mchango wako. ila sasa kuna wengine sio memba wa jukwaa moja hivyo u judge ndio ungekuwa mzuri zaid kwetu. kuliko kuwa miongoni mwa washiriki. kumbuka sinaga jukwaa ambalo nimebobea zaid huwaga naruka ruka tu majukwaa yote
Naunga mkono hoja mia kwa mia.
Mkuu, sikuona PM yako yoyote. Pia nilipokuuliza ulkisema ungemtoa binti yako kama zawadi na likaishia hivyo. so tulilichukulia kiutani zaidi. Lakini kama uko serious kama sponsors wengine, naomba ulithibitishe sasa!
Ila lara 1 naye alipaswa kuwa mshindani na siyo Jaji, ila sijui kama wagombea wameshachaguliwa au bado maana sijaona thread ya wagombea na sikuwepo jamvini kwa siku kazaa kwa mapumziko ya sikukuu.Nakushukuru saana dearest.... Asante kwa kuheshimu hilo.
Unasema kuwa huja base kwenye jukwaa moja, ni ngumu wewe kujiona labda siwe watazamaji zaidi... Sijui kama nitakosea wengine watanikosoa ila jukwaa lako kubwa ni MMU (nadhani ndio maana waitwa na kujiita kungwi) - angalia threads zako nyingi ni zipi; Jukwaa lako ka pili kwa matumizi ni Chit Chat (mashoga zako wote wapo huko... Lol); Then ndio yanafuata Siasa, photos, Chef, n.k.
Again... Nashukuru saana. Pamoja sana mdogo wangu. :A S 11:
Hata kama Superman yupo mbali karibu sana, hapa wawezeshaji ndio wanahitajika zaidi, mkuu AshaDii inaonekana Superman ameshakwenda kula makange hebu mpokee huyu member anataka kuwezesha shindano. ila asilete utapeli wa kwao CCM.Mkuu samahani naomba kuwa mdhamini,halafu kuna shindano lingine linaendelea kuna mhusika wa hilo shindano nilisema pia nataka kuwa mdhamini lakini naona kimya hebu tujulishane bana unajua wengine tunapenda kushiriki kwenye vitu hivi kwa sababu ndio kwana tuna miezi kama minne tu humu Jamvini kwa hiyo tunaomba na sisi muwe mnatujali na kutukumbuka,tunachohitaji ni kushare na wenzetu katika mazuri wanayoyafanya kama hili Mkuu.
Asante saana mamie.... Nakusalimu withe Love. Happy holidays...
Mkuu samahani naomba kuwa mdhamini,halafu kuna shindano lingine linaendelea kuna mhusika wa hilo shindano nilisema pia nataka kuwa mdhamini lakini naona kimya hebu tujulishane bana unajua wengine tunapenda kushiriki kwenye vitu hivi kwa sababu ndio kwana tuna miezi kama minne tu humu Jamvini kwa hiyo tunaomba na sisi muwe mnatujali na kutukumbuka,tunachohitaji ni kushare na wenzetu katika mazuri wanayoyafanya kama hili Mkuu.
mbona kidogo sana kwa hadhi yako na ukongwe wako hapa jf basi ongeza kidogoNaomba nami niweke 20,000/- za kibongo kama inakubalika kuwa sponsor
Wala asipate tabu ya kufikiri sana, wewe chitchat ndio panakufaa, huwa nawafuatilia wewe na Gaijin hata sifa ya kuwa Jaji huna, basi tu kwakuwa Mkuu Superman amekuidhinisha wacha tu na iwe hivyo, lakini kwangu huna sifa sawa na Gaijin.
I mean hao ni watu serious, siyo dume ambalo linashinda MMU 24/7 ukasema aje kujaji mambo ambayo ni Hard talks, itakuwa ni vichekesho kumleta Mchambuzi jukwaa la siasa awe jaji.
AshaDii ndio Jaji pekee ambaye sina shaka naye na uwezo wake wa jukwaa lolote lile, anafit kila jukwaa.
Hapo kwenye red sijui ofutopic zinaruhusiwa hapa!!!kwi kwi kwi... Dady Mwita Maranya eti ni kweli?
I mean hao ni watu serious, siyo dume ambalo linashinda MMU 24/7 ukasema aje kujaji mambo ambayo ni Hard talks, itakuwa ni vichekesho kumleta Mchambuzi jukwaa la siasa awe jaji.
AshaDii ndio Jaji pekee ambaye sina shaka naye na uwezo wake wa jukwaa lolote lile, anafit kila jukwaa.
Ungeweza kuwapendekeza tu hao jamaa bila kuweka hayo maneno...vinginevyo ni dharau kwa majukwaa mengine na inaonyesha usivyojali 'social' part of your life. Life ain't just politics!
Dah!!..Nimekupata "great thinker" Nadhani message sent and delivered..