Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Nakupenda mno my dear young sister salam nimezipokea. Pokea zawadi hii
![]()
woow!!! asante sana my lovely sis, mwaaaaa!!!!
Nakupenda mno my dear young sister salam nimezipokea. Pokea zawadi hii
![]()
Salaam hizi ziwafikie wafuatao:-
Kwanza kwa familia yangu pendwa ya Daddy watu8 na Mummy measkron, Dada zandu wote sweetlady, WiseLady, Lady doctor, Passion Lady, ladyfurahia, Kaka yetu wa pekee Davie S.M.
Pili kwa Rock City Wing, Mwenyekiti Rock City, Home First, ram, Think pad, Elizabeth Dominic, Evelyn Salt, Mzee Gedeli na invisible member wote walioko Mwanza.
Tatu kwa Arusha Wing nikianza na Mwenyekiti PakaJimmy, Mlezi wa Rock Wing Arushaone, Erickb52, Mungi, Preta, Mzee wa Rula, marejesho, Filipo, Mr Rocky, Mkirua, black womani, Lily Flower, Tonypk na Invisible members wote mliopo Arusha.
Nne kwa Dar Wing ikiongozwa na Mzee Mtambuzi, Babu Asprin, Dada zangu wakubwa heshima kwenu gfsonwin, AshaDii, cacico, snowhite, Paloma, Chocs, Heaven on Earth, amu, Madame B, Mentor, Zion Daughter, sosoliso, Husninyo, Vin Diesel, TANMO, Simplicity, stevoh, BAK, Mwita Maranya Jiwe Linaloishi, My Lawyer Ruttashobolwa na Invisible member wote mliopo Dar Wing....
Tano kwa Tanga Wing.. Kunani paleee eeeh! Naanza na Babu yangu Dark City, YNNAH, Mwanyasi, KOKUTONA, Ennie na Invisible members wote mliopo TA...
Sita kwa unknown location..... Nikianzia kwa kaka mkubwa Kaizer, Joe Nyandigira, KakaJambazi, Nicas Mtei, SnowBall, Slave na wengineo
Mwisho kabisa napenda kuwatumia salamu za sikukuu viongozi wote wa JF nikianza na Founder @maxence mello Mungu awe nawe, Mike McKee, Fang, Paw, Invisible, Buchanan, Moderator na wengineo....
![]()
Shukria,,,,come zis way charminglady
Teh teh teh... Kwi kwi kwi.... :tape: :tape:

ahsantee!asante sana kaka binamu, nami nakutakia heri ya Xmas na Mwaka mpya uwe na afya nzuri na uepushwe na baya lolote lile na mipango yako iwe kama ulivyo tarajia katika kipindi hiki na kipindi kijacho cha mwaka 2014.
Salamu hiyo iwafikie marafiki zangu wapendwa Arushaone, Erickb52, Kipaji Halisi The Boss, sweetlady, Chocs Bishanga, Passion Lady, baba yangu kipenzi watu8, my mama measkron, dogo lake Ladymasa, my sis charminglady ladyfurahia, The secretary mwekundu, nitonye Mapi, Baba V, PakaJimmy, Ruttashobolwa, Simplicity, Invisible, Judgement, sosoliso, DEMBA Kaizer, WA-UKENYENGE, Madame B, Nicas Mtei, Kijino, KOKUTONA, Paloma, YNNAH, I am Strong, my lovely kaka kabanga, Ben Saanane, Chimbuvu, Jiwe Linaloishi, Mwanyasi, LiverpoolFC, amu, Mzee wa Rula, Mamndenyi, 'Valentina', Wisest man(miss u), Lily Flower, Mzee, Evelyn Salt, slave, kobun, mathematics, @C6, Katavi, mkiva Asprin, Smile, farkhina, Preta, 24hrs na wanajf woote Mungu awalinde na awenanyi katika kipindi choote cha sikukuu na kipindi chote cha uhai wenu, mazuri yawe nanyi na mabaya awaepushie!!!!!
Salaam hizi ziwafikie wafuatao:-
Kwanza kwa familia yangu pendwa ya Daddy watu8 na Mummy measkron, Dada zandu wote sweetlady, WiseLady, Lady doctor, Passion Lady, ladyfurahia, Kaka yetu wa pekee Davie S.M.
Pili kwa Rock City Wing, Mwenyekiti Rock City, Home First, ram, Think pad, Elizabeth Dominic, Evelyn Salt, Mzee Gedeli na invisible member wote walioko Mwanza.
Tatu kwa Arusha Wing nikianza na Mwenyekiti PakaJimmy, Mlezi wa Rock Wing Arushaone, Erickb52, Mungi, Preta, Mzee wa Rula, marejesho, Filipo, Mr Rocky, Mkirua, black womani, Lily Flower, Tonypk na Invisible members wote mliopo Arusha.
Nne kwa Dar Wing ikiongozwa na Mzee Mtambuzi, Babu Asprin, Dada zangu wakubwa heshima kwenu gfsonwin, AshaDii, cacico, snowhite, Paloma, Chocs, Heaven on Earth, amu, Madame B, Mentor, Zion Daughter, sosoliso, Husninyo, Vin Diesel, TANMO, Simplicity, stevoh, BAK, Mwita Maranya Jiwe Linaloishi, My Lawyer Ruttashobolwa na Invisible member wote mliopo Dar Wing....
Tano kwa Tanga Wing.. Kunani paleee eeeh! Naanza na Babu yangu Dark City, YNNAH, Mwanyasi, KOKUTONA, Ennie na Invisible members wote mliopo TA...
Sita kwa unknown location..... Nikianzia kwa kaka mkubwa Kaizer, Joe Nyandigira, KakaJambazi, Nicas Mtei, SnowBall, Slave na wengineo
Mwisho kabisa napenda kuwatumia salamu za sikukuu viongozi wote wa JF nikianza na Founder @maxence mello Mungu awe nawe, Mike McKee, Fang, Paw, Invisible, Buchanan, Moderator na wengineo....
![]()
unacheeeka wife
Be blessed and keep on charming as usual....
BTW nipo DSM.
aaamin.....mungu na ajalie hivyo!Jamani mdogo wangu wa ukweli Lady doctor salamu nimezipata ama baada ya salamu napenda namimi nikutakie sikukuu njema ya xmas na sikukuu zingine zote zote za mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka. Ningependa nikubariki , barikiwa sana kwa baraka zote za rohoni na za mwilini. Mwaka utakaoanza uwe wa mafanikio kwako kiroho na kimwili .
Bila kukusahau wewe mjumbe uliyewezesha ujumbe huu kunifikia nawe barikiwa sanaaa. Huu mwaka utakaoanza uwe kwao mwaka wa neema na fanaka. Mwaka huo mpya ukawe simulizi katika maisha yako yote ie simulizi za baraka . Nawapenda wote wanachiti chati mbarikiwe . Nimeshangaaa jamani eti leo nimemuota Mamndenyi hata hivyo barikiwa sanaaa ndugu yangu.
Evelyn Salt naukubali mwaliko wako na asante sana kwa hiloSalamu za upendeleo kwa yule inaesumbua moyo yangu Slave shostito wa ukwee Madame B, Passion Lady, Lady doctor best angu charminglady, mama ya mizombie Kongosho, msimuliaji wa ukwee lara 1, wazee waliozeeka na maini yao Baba V na Asprin, Mentor nimekumiss sana, Mr Rocky kama hautajali naomba christmass nikutoe out..... Simplicity boxing day ntakuhitaji pembeni yangu, babu Dark City sijakusahau.
nawatakieni heri ya christmass :busu