Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

My appreciation Lady doctor...I wish you a very Merry X-mas and prosperous New Year of 2014 and all JF members all over the World.

inavutia sana mkuu..
ubarikiwe mara nying zaidi.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
wii mwenzio nimesha anza kula bata mapemaaa na my asali huku ukanda wa baridi, sijui nitarudi lini home mie.
Fikisha salamu zangu za sikukuu kwa kiwatengu shansarie, BAK na Jerrymsigwa

asante sana shemu wangu wa ukweli...

1488122_668043136561472_2130098404_n.jpg
 
Salaam hizi ziwafikie wafuatao:-

Kwanza kwa familia yangu pendwa ya Daddy watu8 na Mummy measkron, Dada zandu wote sweetlady, WiseLady, Lady doctor, Passion Lady, ladyfurahia, Kaka yetu wa pekee Davie S.M.

Pili kwa Rock City Wing, Mwenyekiti Rock City, Home First, ram, Think pad, Elizabeth Dominic, Evelyn Salt, Mzee Gedeli na invisible member wote walioko Mwanza.

Tatu kwa Arusha Wing nikianza na Mwenyekiti PakaJimmy, Mlezi wa Rock Wing Arushaone, Erickb52, Mungi, Preta, Mzee wa Rula, marejesho, Filipo, Mr Rocky, Mkirua, black womani, Lily Flower, Tonypk na Invisible members wote mliopo Arusha.

Nne kwa Dar Wing ikiongozwa na Mzee Mtambuzi, Babu Asprin, Dada zangu wakubwa heshima kwenu gfsonwin, AshaDii, cacico, snowhite, Paloma, Chocs, Heaven on Earth, amu, Madame B, Mentor, Zion Daughter, sosoliso, Husninyo, Vin Diesel, TANMO, Simplicity, stevoh, BAK, Mwita Maranya Jiwe Linaloishi, My Lawyer Ruttashobolwa na Invisible member wote mliopo Dar Wing....

Tano kwa Tanga Wing.. Kunani paleee eeeh! Naanza na Babu yangu Dark City, YNNAH, Mwanyasi, KOKUTONA, Ennie na Invisible members wote mliopo TA...

Sita kwa unknown location..... Nikianzia kwa kaka mkubwa Kaizer, Joe Nyandigira, KakaJambazi, Nicas Mtei, SnowBall, Slave na wengineo

Mwisho kabisa napenda kuwatumia salamu za sikukuu viongozi wote wa JF nikianza na Founder @maxence mello Mungu awe nawe, Mike McKee, Fang, Paw, Invisible, Buchanan, Moderator na wengineo....

images
 
thanks muke ya C6 ntakuwa mwanza for holiday hope ntakuona
 
Shukran charminglady.
Mungu atuwezeshe sote kumaliza mwaka huu salama,
Nakuombea kheir mamy 2014 uwe wa baraka na mafanikio kwako,Mungu akupe yote ya heri na zaidi.
Be happy always charminglady.
 
Last edited by a moderator:
asante sana kaka binamu, nami nakutakia heri ya Xmas na Mwaka mpya uwe na afya nzuri na uepushwe na baya lolote lile na mipango yako iwe kama ulivyo tarajia katika kipindi hiki na kipindi kijacho cha mwaka 2014.

Salamu hiyo iwafikie marafiki zangu wapendwa Arushaone, Erickb52, Kipaji Halisi The Boss, sweetlady, Chocs Bishanga, Passion Lady, baba yangu kipenzi watu8, my mama measkron, dogo lake Ladymasa, my sis charminglady ladyfurahia, The secretary mwekundu, nitonye Mapi, Baba V, PakaJimmy, Ruttashobolwa, Simplicity, Invisible, Judgement, sosoliso, DEMBA Kaizer, WA-UKENYENGE, Madame B, Nicas Mtei, Kijino, KOKUTONA, Paloma, YNNAH, I am Strong, my lovely kaka kabanga, Ben Saanane, Chimbuvu, Jiwe Linaloishi, Mwanyasi, LiverpoolFC, amu, Mzee wa Rula, Mamndenyi, 'Valentina', Wisest man(miss u), Lily Flower, Mzee, Evelyn Salt, slave, kobun, mathematics, @C6, Katavi, mkiva Asprin, Smile, farkhina, Preta, 24hrs na wanajf woote Mungu awalinde na awenanyi katika kipindi choote cha sikukuu na kipindi chote cha uhai wenu, mazuri yawe nanyi na mabaya awaepushie!!!!!

asante sana rafiki yangu kipenzi
nawe mungu awe pamoja nawe na
akuongoze ktk mwaka ujao,uwe wa mafanikio kwako!!amen!!
 
Shukrani za hali ya juu charminglady
Asante sana kwa salam na naomba sana Mungu atuwezeshe kuumaliza msimu huu wa sikukuu salama na kuweza kuuona mwaka 2014 kwa amani na furaha
Asante sana charminglady
 
Last edited by a moderator:
kaka tayari mimi nishafika huku.
Neema ya Mungu ni kubwa sana...

Mkuu dah umewahi sana aise kiwatengu
Mi jumapili nitapita mitaa hiyo naenda rombo mara moja na kurudi na then nitarejea tena huko Marangu tarehe 28 aise
Tuwasiliane Pale Mwembeni unipe mawasiliano aise
 
Last edited by a moderator:
asante sana kaka binamu, nami nakutakia heri ya Xmas na Mwaka mpya uwe na afya nzuri na uepushwe na baya lolote lile na mipango yako iwe kama ulivyo tarajia katika kipindi hiki na kipindi kijacho cha mwaka 2014.

Salamu hiyo iwafikie marafiki zangu wapendwa Arushaone, Erickb52, Kipaji Halisi The Boss, sweetlady, Chocs Bishanga, Passion Lady, baba yangu kipenzi watu8, my mama measkron, dogo lake Ladymasa, my sis charminglady ladyfurahia, The secretary mwekundu, nitonye Mapi, Baba V, PakaJimmy, Ruttashobolwa, Simplicity, Invisible, Judgement, sosoliso, DEMBA Kaizer, WA-UKENYENGE, Madame B, Nicas Mtei, Kijino, KOKUTONA, Paloma, YNNAH, I am Strong, my lovely kaka kabanga, Ben Saanane, Chimbuvu, Jiwe Linaloishi, Mwanyasi, LiverpoolFC, amu, Mzee wa Rula, Mamndenyi, 'Valentina', Wisest man(miss u), Lily Flower, Mzee, Evelyn Salt, slave, kobun, mathematics, @C6, Katavi, mkiva Asprin, Smile, farkhina, Preta, 24hrs na wanajf woote Mungu awalinde na awenanyi katika kipindi choote cha sikukuu na kipindi chote cha uhai wenu, mazuri yawe nanyi na mabaya awaepushie!!!!!

Thank you
 
Last edited by a moderator:
hivi dada kipenzi Ablessed, unajua unapendwa sana na dadako Lady doctor? basi anakusalimu, Heaven on Earth, mimi49 nawe Fixed Point salamu ziwafikie hapo mlipo....
Jamani mdogo wangu wa ukweli Lady doctor salamu nimezipata ama baada ya salamu napenda namimi nikutakie sikukuu njema ya xmas na sikukuu zingine zote zote za mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka. Ningependa nikubariki , barikiwa sana kwa baraka zote za rohoni na za mwilini. Mwaka utakaoanza uwe wa mafanikio kwako kiroho na kimwili .

Bila kukusahau wewe mjumbe uliyewezesha ujumbe huu kunifikia nawe barikiwa sanaaa. Huu mwaka utakaoanza uwe kwao mwaka wa neema na fanaka. Mwaka huo mpya ukawe simulizi katika maisha yako yote ie simulizi za baraka . Nawapenda wote wanachiti chati mbarikiwe . Nimeshangaaa jamani eti leo nimemuota Mamndenyi hata hivyo barikiwa sanaaa ndugu yangu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom