Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

asante sana shost kwa salam
mm pia nakusalimia,nimekumiss
kwa sana,usipotee hivyo bana!!

Binamu Passion Lady upo aise
Nimekumiss sana sijui umefungiwa wapi huonekani au yule lawyer kaweka kizingiti usikanyage huku
Heri ya sikukuu mpendwa
 
Last edited by a moderator:
Salaam hizi ziwafikie wafuatao:-

Kwanza kwa familia yangu pendwa ya Daddy watu8 na Mummy measkron, Dada zandu wote sweetlady, WiseLady, Lady doctor, Passion Lady, ladyfurahia, Kaka yetu wa pekee Davie S.M.

Pili kwa Rock City Wing, Mwenyekiti Rock City, Home First, ram, Think pad, Elizabeth Dominic, Evelyn Salt, Mzee Gedeli na invisible member wote walioko Mwanza.

Tatu kwa Arusha Wing nikianza na Mwenyekiti PakaJimmy, Mlezi wa Rock Wing Arushaone, Erickb52, Mungi, Preta, Mzee wa Rula, marejesho, Filipo, Mr Rocky, Mkirua, black womani, Lily Flower, Tonypk na Invisible members wote mliopo Arusha.

Nne kwa Dar Wing ikiongozwa na Mzee Mtambuzi, Babu Asprin, Dada zangu wakubwa heshima kwenu gfsonwin, AshaDii, cacico, snowhite, Paloma, Chocs, Heaven on Earth, amu, Madame B, Mentor, Zion Daughter, sosoliso, Husninyo, Vin Diesel, TANMO, Simplicity, stevoh, BAK, Mwita Maranya Jiwe Linaloishi, My Lawyer Ruttashobolwa na Invisible member wote mliopo Dar Wing....

Tano kwa Tanga Wing.. Kunani paleee eeeh! Naanza na Babu yangu Dark City, YNNAH, Mwanyasi, KOKUTONA, Ennie na Invisible members wote mliopo TA...

Sita kwa unknown location..... Nikianzia kwa kaka mkubwa Kaizer, Joe Nyandigira, KakaJambazi, Nicas Mtei, SnowBall, Slave na wengineo

Mwisho kabisa napenda kuwatumia salamu za sikukuu viongozi wote wa JF nikianza na Founder @maxence mello Mungu awe nawe, Mike McKee, Fang, Paw, Invisible, Buchanan, Moderator na wengineo....

images
Nimezipokea salamu kwa mikono miwili mpendwa wangu. nami pokea zangu
 
Salamu za upendeleo kwa yule inaesumbua moyo yangu Slave shostito wa ukwee Madame B, Passion Lady, Lady doctor best angu charminglady, mama ya mizombie Kongosho, msimuliaji wa ukwee lara 1, wazee waliozeeka na maini yao Baba V na Asprin, Mentor nimekumiss sana, Mr Rocky kama hautajali naomba christmass nikutoe out..... Simplicity boxing day ntakuhitaji pembeni yangu, babu Dark City sijakusahau.

nawatakieni heri ya christmass :busu
my waai Evelyn Salt asante bana nimekusikia live ukinitumia salam za christmas na mwaka mpya.
 
Last edited by a moderator:
Salamu za upendeleo kwa yule inaesumbua moyo yangu Slave shostito wa ukwee Madame B, Passion Lady, Lady doctor best angu charminglady, mama ya mizombie Kongosho, msimuliaji wa ukwee lara 1, wazee waliozeeka na maini yao Baba V na Asprin, Mentor nimekumiss sana, Mr Rocky kama hautajali naomba christmass nikutoe out..... Simplicity boxing day ntakuhitaji pembeni yangu, babu Dark City sijakusahau.

nawatakieni heri ya christmass :busu

Usithubutu kukutwaaaaaa!!
 
aiseee!!mi nipo zangu bush ni
mwendo wa kishumba na denge tu!!
namsubiria shem wangu Eli79 anaingia leo!!

Shem langu nakuja leo...
Jiandae tupige denge kwa kwenda mbele...
Afu kumbe ndo maana upo hewani kwa ''kudip'' eeeh...
Heri ya Xmass na Mwaka Mpya my shem...
 
Shem langu nakuja leo...
Jiandae tupige denge kwa kwenda mbele...
Afu kumbe ndo maana upo hewani kwa ''kudip'' eeeh...
Heri ya Xmass na Mwaka Mpya my shem...

heri na kwako pia shemeji
utanikuta nakusubiria mwisho wa basi
usisahau kuniletea mkate boflo basi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom