Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

Last edited by a moderator:
Heri ya sikukuu ya x mass na mwaka mpya my darling kiwatengu na wana jf wote
mungu awabariki sana muvuke mwaka salama na kukamilisha yote mliyoyapanga mwaka huu.

UJUMBE;The love of a family is a life's greatest blessing
 

Attachments

  • Merry-Christmas-Flowers-Wallpapers-2013.jpg
    Merry-Christmas-Flowers-Wallpapers-2013.jpg
    52.5 KB · Views: 41
Last edited by a moderator:
kiwatengu, mimi sina ujumbe wa kuvutia... ila na penda tutakiane afya njema katika msimu huu wa sikukuu na pia tuwatakie safari njema wenzetu wote watakaosafiri nje ya maeneo walipo kwa ajili ya mapuziko.

sikukuu njema...

Asante sana mkubwa wangu wa ukweli.
 
Kwa niaba ya mai waifu wangu Paloma ninapenda kuwatakia wadau wote wa JF sikukuu njema na yenye furaha kwenu nyote..

Ningependa wakati mkisheherekea na kujumuika pamoja, tupate muda wa kukaa chini na kutafakari kwanini sie tumebahatika kuendelea kuwepo na kuukaribia tena msimu huu wa sikukuu.. Wale waliopata matatizo na kupoteza maisha walifanya kosa gani ambalo liliwasababisha watoweke hapa duniani.. Na sie tumefanya wema gani wa kutusababishia kuendelea kupendelewa hapa.. Na jeee tunavyosheherekea kwa kunywa pombe na kujaza nyumba za wageni ndo njia muafaka ya kushukuru..?
Ni tafakari tu kwa wale wanaoamini..


Christmas_wallpaper3.jpg
 
Asante sana Mkuu Kaizer
Heri hizo zikurudie na wewe na uwe na msimu mzuri wa sikukuu ya Xmass na Mwaka Mpya weney mafanikio na wenye baraka za Mungu
Kwa akina Arushaone, Erickb52, Nicas Mtei, Mentor, kiwatengu, Mamndenyi, Preta, Lady doctor, sweetlady, snowhite, King'asti, Heaven on Earth, Madame B, Zion Daughter, gfsonwin, AshaDii, sosoliso, mwallu, Mwalu, Paloma, Passion Lady, charminglady, Blaki Womani, Lily Flower, Chocs, amu, Husninyo, Dena Amsi Vin Diesel, Mkirua, TANMO, SIMplicity, stevoh, BAK, Jiwe Linaloishi, , Filipo, Bishanga, Asprin, Dark City, Paw, Invisible, Moderator, Mzee wa Rula, PakaJimmy, Mungi, RUTashubanyuma, Ruttashobolwa, nawatakia kila la heri katika kuumaliza mwaka salama na kuuingia mwaka mwingine wa 2014

asante sana kaka binamu, nami nakutakia heri ya Xmas na Mwaka mpya uwe na afya nzuri na uepushwe na baya lolote lile na mipango yako iwe kama ulivyo tarajia katika kipindi hiki na kipindi kijacho cha mwaka 2014.

Salamu hiyo iwafikie marafiki zangu wapendwa Arushaone, Erickb52, Kipaji Halisi The Boss, sweetlady, Chocs Bishanga, Passion Lady, baba yangu kipenzi watu8, my mama measkron, dogo lake Ladymasa, my sis charminglady ladyfurahia, The secretary mwekundu, nitonye Mapi, Baba V, PakaJimmy, Ruttashobolwa, Simplicity, Invisible, Judgement, sosoliso, DEMBA Kaizer, WA-UKENYENGE, Madame B, Nicas Mtei, Kijino, KOKUTONA, Paloma, YNNAH, I am Strong, my lovely kaka kabanga, Ben Saanane, Chimbuvu, Jiwe Linaloishi, Mwanyasi, LiverpoolFC, amu, Mzee wa Rula, Mamndenyi, 'Valentina', Wisest man(miss u), Lily Flower, Mzee, Evelyn Salt, slave, kobun, mathematics, @C6, Katavi, mkiva Asprin, Smile, farkhina, Preta, 24hrs na wanajf woote Mungu awalinde na awenanyi katika kipindi choote cha sikukuu na kipindi chote cha uhai wenu, mazuri yawe nanyi na mabaya awaepushie!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom