Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 19,147
- 43,082
Rilesheni statasi yako Mlongo 😂😂😂Kiajeee?![]()
Rilesheni statasi yako Mlongo 😂😂😂Kiajeee?![]()
Eb nione payment gateways unazotumia kwenye biashara yako ya Madafu😂Hilo huwa nadili nalo sana aisee kwenye shughuli zangu 😁😁😁
Kwenye portal za TRA 🤣🤣🤣Eb nione payment gateways unazotumia kwenye biashara yako ya Madafu😂
OTP ni nini kwanza?Ili hayo yawezekane ruhusu hiyo OTP sasa
Heeeh jamani hata hunibembelezi😭😭😭Haya nenda kwa hao watakaokuongezea muda🤣
Heeeeh!! Nadanganywa mimi 🙆🙆mCHUMBA wa nini bebe, wakati nakumiliki wewe mNYUMBA, tena ni mGHOROFA. 5 STARS kabisa, chombo certified by ISO. 😘😘😍
Kwako nikitaka mCHUMBA vipo vyumba vya kutosha, ventriko juu na chini na auriko juu na chini, nichague mimi pakujimwaga.
Sebuleni, nalala mapajani napata upepo wa maana.
Uwani, najipumzisha kwenye balcony napata sea view.
Jikoni ndio mahala pake, msosi umejitosheleza, chumvi ikipungua, nazama chumvini, table salt NaCl naipata kwa ulimi..
Basi tusiwape watu faida bebe wangu,
I love you, jamiiforum woote wanajua.
Nakala ya kukutongoza ipo kwa Maxence Melo
Ni helaOTP ni nini kwanza?
Mmmh!Ni hela
Nimelipia Kodi😂Mmmh!
Kwanza zile ulisema unaleta nikutunzie ziko wapi?
Hiyo biashara tulishaa ha mda sana, nibembeleze mtu mzima mwenzangu...Heeeh jamani hata hunibembelezi😭😭😭
Siwezi hata kuthubutu kipenzi,Heeeeh!! Nadanganywa mimi 🙆🙆
Wapiga misele wapo wengi Mlongo chagua mmoja myajenge 😂😂😂aaaah wee!!!
Hapanaaaaa!!!Wapiga misele wapo wengi Mlongo chagua mmoja myajenge![]()






😂😂😂😂M naitaji mdada tupige kimasiraha moja afu kila mtu asepe kona yake 😀
Shauri zako hii ni firsa ukue 😁😁😁Hapanaaaaa!!!![]()
🤣🤣🤣 Unaona sasa matatizo yako!!Nimelipia Kodi😂
Mzee wa nyumba alikua anadai kibabe sana nkaona yaishe🤣🤣🤣 Unaona sasa matatizo yako!!