Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,030
- 111,617
😂Hakuna wachumba wote watoto wa kiume hao kuweni makini
😂Hakuna wachumba wote watoto wa kiume hao kuweni makini
Ukiwa na babez humu ambae yupo active sana unaweza saga chupa 🤣🤣Mimi mwenyewe nimemwona babe wangu anatafuta mchumba humu, ndio maana nimecheka, kumbe tupo wengi 😅😅😅😅😅
WangaoiWachumbaaa mkujeee,![]()
Na taarifa zake zote zinakua exposedAtakaejipendekeza pm kwako anakula life ban🤣🤣
mCHUMBA wa nini bebe, wakati nakumiliki wewe mNYUMBA, tena ni mGHOROFA. 5 STARS kabisa, chombo certified by ISO. 😘😘😍Babe usiniambie nawe unatafuta mchumba😭😭😭😭
Basi ni kuzidi kupambana tuDaah mechi bado ngumu aisee
Kwahiyo kifo cha wengi harusi🤣🤣Mimi mwenyewe nimemwona babe wangu anatafuta mchumba humu, ndio maana nimecheka, kumbe tupo wengi 😅😅😅😅😅
Huku nimeahidiwa mema ya nchi, nimeambiwa unanipotezea muda🙆Kwangu hujawahi kupoteza mda my babez🤣
Na picha yake tunabandika hadi jukwaa la mapishi.Na taarifa zake zote zinakua exposed
Ili hayo yawezekane ruhusu hiyo OTP sasaNa picha yake tunabandika hadi jukwaa la mapishi.
Niolewe mara ngapiii? Kuna mtu ameshanioa tayariiii.Mchumba ndio wew sasa watu wajichanganye waje waoe mashoga








Haya nenda kwa hao watakaokuongezea muda🤣Huku nimeahidiwa mema ya nchi, nimeambiwa unanipotezea muda🙆
Ili hayo yawezekane ruhusu hiyo OTP sasa
Asa mbona hausomeki Mlongo?😂😂😂Ndiwoooo!!![]()
😁😁😁Kwa hiyo sheikh unafuatilia Convo Kimya Kimya ukaona neno OTP ukazama google chapuOTP One Tme Password au sio ?😁
Hilo huwa nadili nalo sana aisee kwenye shughuli zangu 😁😁😁😁😁😁Kwa hiyo sheikh unafuatilia Convo Kimya Kimya ukaona neno OTP ukazama google chapu