mmh! Bebiii mzuri kama wewe unakua mkali ivyo jamani mh? Ok, mie nishindwa na nimelegea
umekubali kulegea kama bamia ilyochemshwa?
Lugha yenyewe hujui... upendwe na nani???
Mleta mada we ni kupewa hongera ya BRONZE !
Coz umejoin Jf Feb11 , leo una 4days, but tayari wadai uwenyeji wako uko jukwaa la Siasa!
Huku umekujavinjari tu! Aidha una post 77 kwa siku 4 ! Ndiyo maana nakupa big-up!
Karibu sana napatikana Matipo Hotel .
Lugha yenyewe hujui... upendwe na nani???
Ningemwandkia tofauti na alvyoandka asingenielewa.
Nambie shem! Naona huyu jamaa "amekusaplaizi" polee mammiy! Acha mie nielekee zangu tii-ala-ei nikalipie ushulu.
Nipendwe na kila mtu.. Luga[/colo]si utanifundisha mrembo
Nipendwe na kila mtu.. Luga si utanifundisha mrembo
lolz!..poa..nami nimeludi kusoma yanayojiri umu
uwe unaludi ludi huku kujifunza luga
Kweli atakufundisha Luga...............
Wewe mtoto wahi shule mida ndo hii inaonyesha leo unaingia mchana
we charminglady njoo umfundishe luga huyu mtu